Janabi amepandisha sana gharama za matibabu Muhimbili anaenda kuwa mshauri wa Rais? Mnataka Watanzania wafe zaidi?

Ulizeni gharama za matibabu Muhimbili zilivyo kisha mlinganishe na Hospitali za mitaani mtaona kuwa hali ni mbaya sana. Hospital ya Taifa ya Muhimbili kwa sasa imekuwa ya kibiashara zaidi na si kutoa huduma.

Utra Sound ambayo hata mtaani unaweza piga kwa tsh 20,000 Muhimbili ni tsh 35,000. na mkumbuke mtu anayeenda Muhimbili ni mtu ambaye emshindikana mtaani si kuwa anawenda kule kwa kuwa anapenda.

Kumwona specialist ni tsh 30,000 akikuelekeza uende kwa mwingine nako utalipia tsh 30,000 hata kama ni the same day. hujaenda kuonana na Daktari wa magonjwa ya akili kama unafanya clinic. ni tsh 45,000 mnakaa dk 5 anakuuliza unakunywa dawa? unajisikiaje? haya njoo tena baada ya miezi 3 anakuandikia anakuruhusu uende. tayari tsh 45,000 imeenda. hizi kodi zetu zinatumika wapi?

Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais

Nyie mnajinunulia magari ya milion 300 mpaka 500 huku maskini wanakufa kwa kukosa huduma muhimu na kuwaoandishia gharama za matibabu. hali ni mbaya sana kwa watanzania.

Sishangai wanaposhangilia kusikia wabunge wamepata ajali. wanaumia sana kwa mateso wayapatayo huku watu wachache wakifaidi huduma za kijamii bure. wao wanachangia wachache waweze kula keki ya nchi vizuri.
Vipi kuhusu maboresho yaliyofanyika pale Muhimbili?
 
Ukisikia falsafa ya unyonyaji wananchi kupitia mashirika na taasisi ya umma ndicho kitu kinaendelea tanzania. Hizo ndio R nne. Watumishi hawahitaji uwekezaji binafsi wowote kupata gawio kutoka serikalini. Kinachofanyika ni kuwanyonya wananchi kwenye huduma ambapo serikali imewekeza fedha za umma. Ukichunguza kwa uhakika utakuta vigogo sehemu kama muhimbili kuanzia wakurugenzi mameneja wa vitengo hadi madaktari na wataalam ndio wafaidika na gharama kubwa wanazotozwa umma wa wananchi. Kuna marupurupu ya kutisha nje ya malipo rasmi.
 
Ulizeni gharama za matibabu Muhimbili zilivyo kisha mlinganishe na Hospitali za mitaani mtaona kuwa hali ni mbaya sana. Hospital ya Taifa ya Muhimbili kwa sasa imekuwa ya kibiashara zaidi na si kutoa huduma.

Utra Sound ambayo hata mtaani unaweza piga kwa tsh 20,000 Muhimbili ni tsh 35,000. na mkumbuke mtu anayeenda Muhimbili ni mtu ambaye emshindikana mtaani si kuwa anawenda kule kwa kuwa anapenda.

Kumwona specialist ni tsh 30,000 akikuelekeza uende kwa mwingine nako utalipia tsh 30,000 hata kama ni the same day. hujaenda kuonana na Daktari wa magonjwa ya akili kama unafanya clinic. ni tsh 45,000 mnakaa dk 5 anakuuliza unakunywa dawa? unajisikiaje? haya njoo tena baada ya miezi 3 anakuandikia anakuruhusu uende. tayari tsh 45,000 imeenda. hizi kodi zetu zinatumika wapi?

Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais

Nyie mnajinunulia magari ya milion 300 mpaka 500 huku maskini wanakufa kwa kukosa huduma muhimu na kuwaoandishia gharama za matibabu. hali ni mbaya sana kwa watanzania.

Sishangai wanaposhangilia kusikia wabunge wamepata ajali. wanaumia sana kwa mateso wayapatayo huku watu wachache wakifaidi huduma za kijamii bure. wao wanachangia wachache waweze kula keki ya nchi vizuri.
Mungu anawaona japo wao hawaamini kama Mungu yupo hata kwenye Siasa !
 
Kama ni kweli ndiye aliyekuwa mfanikishaji wa tukio la Kizalendo la march 17 baasi ASITUANGUSHE kwa hili pia maana hali siyo nzuri kabisa.
 
Huduma nzuri Ina gharama. Msijidanganye kuwa serikali in uwezo wa kutoa huduma za afya kwa zaidi ya huduma ya afya ya msingi.
 
Wamemtoa Muhimbili wanampeleka kwenye siasa, yaani hapa Tanzania mtu akifanya vizuri kwenye kitengo flani wanamyondoa. Kamba ambavyo walimtoa Jerry Silaa kwenye Ardhi.
 
Yaani Janabi ndio anapanga na kuamua bei za matibabu Hospitali ya Muhimbili?
Hivi unafikiri kwa kutumia kiungo gani cha mwili?
 
Wamemtoa Muhimbili wanampeleka kwenye siasa, yaani hapa Tanzania mtu akifanya vizuri kwenye kitengo flani wanamyondoa. Kamba ambavyo walimtoa Jerry Silaa kwenye Ardhi.
Ametolewa wapi?Mbona mvivu wa kusoma au husomi ukaelewa?
 
Ulizeni gharama za matibabu Muhimbili zilivyo kisha mlinganishe na Hospitali za mitaani mtaona kuwa hali ni mbaya sana. Hospital ya Taifa ya Muhimbili kwa sasa imekuwa ya kibiashara zaidi na si kutoa huduma.

Utra Sound ambayo hata mtaani unaweza piga kwa tsh 20,000 Muhimbili ni tsh 35,000. na mkumbuke mtu anayeenda Muhimbili ni mtu ambaye emshindikana mtaani si kuwa anawenda kule kwa kuwa anapenda.

Kumwona specialist ni tsh 30,000 akikuelekeza uende kwa mwingine nako utalipia tsh 30,000 hata kama ni the same day. hujaenda kuonana na Daktari wa magonjwa ya akili kama unafanya clinic. ni tsh 45,000 mnakaa dk 5 anakuuliza unakunywa dawa? unajisikiaje? haya njoo tena baada ya miezi 3 anakuandikia anakuruhusu uende. tayari tsh 45,000 imeenda. hizi kodi zetu zinatumika wapi?

Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais

Nyie mnajinunulia magari ya milion 300 mpaka 500 huku maskini wanakufa kwa kukosa huduma muhimu na kuwaoandishia gharama za matibabu. hali ni mbaya sana kwa watanzania.

Sishangai wanaposhangilia kusikia wabunge wamepata ajali. wanaumia sana kwa mateso wayapatayo huku watu wachache wakifaidi huduma za kijamii bure. wao wanachangia wachache waweze kula keki ya nchi vizuri.
Kwani anaenda kutoa ushauri gani
 
Kaongezewa jukumu huko Ikulu. Kwani wewe umesomaje hapo?
Kuongezewa ndio kutolewa.Kafanywa mshauri wa Rais kwenye masuala ya Tiba.Wapi imeandikwa katolewa Muhimbili kama ulivyodai?Shule ulienda kufanya nini?
 
Kwa kweli mimi namsifu janabi, watanzania sio wakuonea huruma watukamue mpaka akili itusogelee huku wengine waendelee kujenga maghorofa.wawekee mikeka ya maanaa wagonjwa hakuna kuremba.watz mnaboa kukumbatia ssm.cheti cha kuzaliwa mtoto sasa hivi 18,000 kutoka 5,000 hakuna kuonea mtu huruma.
 
Back
Top Bottom