Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Aiseee,nikisikiaga hz gharama,nafikiria siku yakinifika itakuwaje,kama kula tu ni tatzoIla MOI Wana huduma nzuri Sana ila sasa bei .bili ya bibi yangu tulichanga ukoo nzima ndani ya week bill ilifika 7M .
Muombe Mungu akuepushe,mimi binafsi ni muhanga wa hizo gharama za matibabu.Aiseee,nikisikiaga hz gharama,nafikiria siku yakinifika itakuwaje,kama kula tu ni tatzo
HapanaNdiye aliyekuwa daktari wa JPM.
Vipi kuhusu maboresho yaliyofanyika pale Muhimbili?Ulizeni gharama za matibabu Muhimbili zilivyo kisha mlinganishe na Hospitali za mitaani mtaona kuwa hali ni mbaya sana. Hospital ya Taifa ya Muhimbili kwa sasa imekuwa ya kibiashara zaidi na si kutoa huduma.
Utra Sound ambayo hata mtaani unaweza piga kwa tsh 20,000 Muhimbili ni tsh 35,000. na mkumbuke mtu anayeenda Muhimbili ni mtu ambaye emshindikana mtaani si kuwa anawenda kule kwa kuwa anapenda.
Kumwona specialist ni tsh 30,000 akikuelekeza uende kwa mwingine nako utalipia tsh 30,000 hata kama ni the same day. hujaenda kuonana na Daktari wa magonjwa ya akili kama unafanya clinic. ni tsh 45,000 mnakaa dk 5 anakuuliza unakunywa dawa? unajisikiaje? haya njoo tena baada ya miezi 3 anakuandikia anakuruhusu uende. tayari tsh 45,000 imeenda. hizi kodi zetu zinatumika wapi?
Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais
Nyie mnajinunulia magari ya milion 300 mpaka 500 huku maskini wanakufa kwa kukosa huduma muhimu na kuwaoandishia gharama za matibabu. hali ni mbaya sana kwa watanzania.
Sishangai wanaposhangilia kusikia wabunge wamepata ajali. wanaumia sana kwa mateso wayapatayo huku watu wachache wakifaidi huduma za kijamii bure. wao wanachangia wachache waweze kula keki ya nchi vizuri.
Ukisikia falsafa ya unyonyaji wananchi kupitia mashirika na taasisi ya umma ndicho kitu kinaendelea tanzania. Hizo ndio R nne. Watumishi hawahitaji uwekezaji binafsi wowote kupata gawio kutoka serikalini. Kinachofanyika ni kuwanyonya wananchi kwenye huduma ambapo serikali imewekeza fedha za umma. Ukichunguza kwa uhakika utakuta vigogo sehemu kama muhimbili kuanzia wakurugenzi mameneja wa vitengo hadi madaktari na wataalam ndio wafaidika na gharama kubwa wanazotozwa umma wa wananchi. Kuna marupurupu ya kutisha nje ya malipo rasmi.Ulizeni gharama za matibabu Muhimbili zilivyo kisha mlinganishe na Hospitali za mitaani mtaona kuwa hali ni mbaya sana. Hospital ya Taifa ya Muhimbili kwa sasa imekuwa ya kibiashara zaidi na si kutoa huduma.
Utra Sound ambayo hata mtaani unaweza piga kwa tsh 20,000 Muhimbili ni tsh 35,000. na mkumbuke mtu anayeenda Muhimbili ni mtu ambaye emshindikana mtaani si kuwa anawenda kule kwa kuwa anapenda.
Kumwona specialist ni tsh 30,000 akikuelekeza uende kwa mwingine nako utalipia tsh 30,000 hata kama ni the same day. hujaenda kuonana na Daktari wa magonjwa ya akili kama unafanya clinic. ni tsh 45,000 mnakaa dk 5 anakuuliza unakunywa dawa? unajisikiaje? haya njoo tena baada ya miezi 3 anakuandikia anakuruhusu uende. tayari tsh 45,000 imeenda. hizi kodi zetu zinatumika wapi?
Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais
Nyie mnajinunulia magari ya milion 300 mpaka 500 huku maskini wanakufa kwa kukosa huduma muhimu na kuwaoandishia gharama za matibabu. hali ni mbaya sana kwa watanzania.
Sishangai wanaposhangilia kusikia wabunge wamepata ajali. wanaumia sana kwa mateso wayapatayo huku watu wachache wakifaidi huduma za kijamii bure. wao wanachangia wachache waweze kula keki ya nchi vizuri.
Mungu anawaona japo wao hawaamini kama Mungu yupo hata kwenye Siasa !Ulizeni gharama za matibabu Muhimbili zilivyo kisha mlinganishe na Hospitali za mitaani mtaona kuwa hali ni mbaya sana. Hospital ya Taifa ya Muhimbili kwa sasa imekuwa ya kibiashara zaidi na si kutoa huduma.
Utra Sound ambayo hata mtaani unaweza piga kwa tsh 20,000 Muhimbili ni tsh 35,000. na mkumbuke mtu anayeenda Muhimbili ni mtu ambaye emshindikana mtaani si kuwa anawenda kule kwa kuwa anapenda.
Kumwona specialist ni tsh 30,000 akikuelekeza uende kwa mwingine nako utalipia tsh 30,000 hata kama ni the same day. hujaenda kuonana na Daktari wa magonjwa ya akili kama unafanya clinic. ni tsh 45,000 mnakaa dk 5 anakuuliza unakunywa dawa? unajisikiaje? haya njoo tena baada ya miezi 3 anakuandikia anakuruhusu uende. tayari tsh 45,000 imeenda. hizi kodi zetu zinatumika wapi?
Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais
Nyie mnajinunulia magari ya milion 300 mpaka 500 huku maskini wanakufa kwa kukosa huduma muhimu na kuwaoandishia gharama za matibabu. hali ni mbaya sana kwa watanzania.
Sishangai wanaposhangilia kusikia wabunge wamepata ajali. wanaumia sana kwa mateso wayapatayo huku watu wachache wakifaidi huduma za kijamii bure. wao wanachangia wachache waweze kula keki ya nchi vizuri.
Zamani wakati wa Nyerere tulitibiwa Bure ! 😳🤦🏽♂️Vipi kuhusu maboresho yaliyofanyika pale Muhimbili?
Kama Janabi aliweza kukata moto kwenye betri la pacemaker ya jiwe, basi hashindwi kukata neva ya moyo wa bibi.Janabi amekwenda kupima chakula cha Samia wakati huu wa uchaguzi maana CCM Kwa sumu hawajambo
Kama ni kweli ndiye aliyekuwa mfanikishaji wa tukio la Kizalendo la march 17 baasi ASITUANGUSHE kwa hili pia maana hali siyo nzuri kabisa.Ulizeni gharama za matibabu Muhimbili zilivyo kisha mlinganishe na Hospitali za mitaani mtaona kuwa hali ni mbaya sana. Hospital ya Taifa ya Muhimbili kwa sasa imekuwa ya kibiashara zaidi na si kutoa huduma.
Utra Sound ambayo hata mtaani unaweza piga kwa tsh 20,000 Muhimbili ni tsh 35,000. na mkumbuke mtu anayeenda Muhimbili ni mtu ambaye emshindikana mtaani si kuwa anawenda kule kwa kuwa anapenda.
Kumwona specialist ni tsh 30,000 akikuelekeza uende kwa mwingine nako utalipia tsh 30,000 hata kama ni the same day. hujaenda kuonana na Daktari wa magonjwa ya akili kama unafanya clinic. ni tsh 45,000 mnakaa dk 5 anakuuliza unakunywa dawa? unajisikiaje? haya njoo tena baada ya miezi 3 anakuandikia anakuruhusu uende. tayari tsh 45,000 imeenda. hizi kodi zetu zinatumika wapi?
Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais
Nyie mnajinunulia magari ya milion 300 mpaka 500 huku maskini wanakufa kwa kukosa huduma muhimu na kuwaoandishia gharama za matibabu. hali ni mbaya sana kwa watanzania.
Sishangai wanaposhangilia kusikia wabunge wamepata ajali. wanaumia sana kwa mateso wayapatayo huku watu wachache wakifaidi huduma za kijamii bure. wao wanachangia wachache waweze kula keki ya nchi vizuri.
AMINA!Kama Janabi aliweza kukata moto kwenye betri la pacemaker ya jiwe, basi hashindwi kukata neva ya moyo wa bibi.
Huyu kapelekwa huko ili kutimiza unabii usemao "2025 bibi hatoboi, iwe kwa heri au kwa nongwa"
Ametolewa wapi?Mbona mvivu wa kusoma au husomi ukaelewa?Wamemtoa Muhimbili wanampeleka kwenye siasa, yaani hapa Tanzania mtu akifanya vizuri kwenye kitengo flani wanamyondoa. Kamba ambavyo walimtoa Jerry Silaa kwenye Ardhi.
Sasa hayo matukio yatafanyika hadi lini? Na kama kuna huo mchezo wa hayo matukio basi siku watafanyiwa hayo matukio hata yule msiyetaka afanyie hilo tukio.Kama ni kweli ndiye aliyekuwa mfanikishaji wa tukio la Kizalendo la march 17 baasi ASITUANGUSHE kwa hili pia maana hali siyo nzuri kabisa.
Kaongezewa jukumu huko Ikulu. Kwani wewe umesomaje hapo?Ametolewa wapi?Mbona mvivu wa kusoma au husomi ukaelewa?
Kwani anaenda kutoa ushauri ganiUlizeni gharama za matibabu Muhimbili zilivyo kisha mlinganishe na Hospitali za mitaani mtaona kuwa hali ni mbaya sana. Hospital ya Taifa ya Muhimbili kwa sasa imekuwa ya kibiashara zaidi na si kutoa huduma.
Utra Sound ambayo hata mtaani unaweza piga kwa tsh 20,000 Muhimbili ni tsh 35,000. na mkumbuke mtu anayeenda Muhimbili ni mtu ambaye emshindikana mtaani si kuwa anawenda kule kwa kuwa anapenda.
Kumwona specialist ni tsh 30,000 akikuelekeza uende kwa mwingine nako utalipia tsh 30,000 hata kama ni the same day. hujaenda kuonana na Daktari wa magonjwa ya akili kama unafanya clinic. ni tsh 45,000 mnakaa dk 5 anakuuliza unakunywa dawa? unajisikiaje? haya njoo tena baada ya miezi 3 anakuandikia anakuruhusu uende. tayari tsh 45,000 imeenda. hizi kodi zetu zinatumika wapi?
Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais
Nyie mnajinunulia magari ya milion 300 mpaka 500 huku maskini wanakufa kwa kukosa huduma muhimu na kuwaoandishia gharama za matibabu. hali ni mbaya sana kwa watanzania.
Sishangai wanaposhangilia kusikia wabunge wamepata ajali. wanaumia sana kwa mateso wayapatayo huku watu wachache wakifaidi huduma za kijamii bure. wao wanachangia wachache waweze kula keki ya nchi vizuri.
Kuongezewa ndio kutolewa.Kafanywa mshauri wa Rais kwenye masuala ya Tiba.Wapi imeandikwa katolewa Muhimbili kama ulivyodai?Shule ulienda kufanya nini?Kaongezewa jukumu huko Ikulu. Kwani wewe umesomaje hapo?
Tusiyetaka mimi na nani?Sasa hayo matukio yatafanyika hadi lini? Na kama kuna huo mchezo wa hayo matukio basi siku watafanyiwa hayo matukio hata yule msiyetaka afanyie hilo tukio.