Janabi amepandisha sana gharama za matibabu Muhimbili anaenda kuwa mshauri wa Rais? Mnataka Watanzania wafe zaidi?

Na jibu kufuatana na kichwa cha habari ulichoweka. Tatizo sio Dr Janabi na Dr kuweka viwango hivyo inaweza kuwa sawa, tatizo ni la sirikali yetu kutoweka mifumo ya uchangiaji matibabu ambao ni endelevu Kwa kuweza kuwaingiza asilimia 95% ya watu wenye uwezo wa kuchangia.
Pili ni upigaji wa viongozi ambao kwa namna moja au nyingine wapo chini ya sirikali, mfano MSD na nhif.
Tatu huduma flani au maslahi flani kutolewa kwa upendeleo, mfano tuna sikia kuna watu wanaenda kutibiwa India, wakati kuna watu matibabu flani hapa hapa nchini, wanaambiwa hayapo kwenye bima Yao kwenye bima ya Afya.
Hivyo kuna ubaguzi54
 
Haya majangili hayana huruma na sisi
 
Yote 9, wamenichosha na gharama ya parking... Ukijichanganya unalipa elfu 7, 10 na kuendelea, wakati mlolongo wa kupoteza muda kupata huduma wao ndio wasababishi.
Gharama ya parking kama sijakosea ni Tsh. 500 kwa lisaa
 
Yaani Janabi ndio anapanga na kuamua bei za matibabu Hospitali ya Muhimbili?
Hivi unafikiri kwa kutumia kiungo gani cha mwili?
Yaani hata mimi nimeshangaa. Angeshtumu wizara ya Afya, Bohari ya dawa MSD au NHIF . Sasa Mkurugenzi mtendaji na bei au gharama za matibabu wapi na wapi
 
Reactions: Tui
Fika Mloganzila uone akina mama waliojifungua wakakosa fedha za kulipa, wanazuiwa kutoka mpaka malipo yakamilike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…