Jane Lowassa nakuhitaji

Jane Lowassa nakuhitaji

TheBuilder

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2014
Posts
237
Reaction score
212
Habari za siku tele waungwana?

Pasipo kupoteza muda niende kwenye mada.

Siku au miezi kadhaa iliyopita, mwanadada Jane Lowassa alitutangazia kuwa kipindi hicho alikuwa amejikita katika kufunga na kuomba kwa ajili ya Wana Jf kwa mahitaji na matatizo mbali mbali mbali.

Miongoni mwa watu walioomba waombewe ni mimi, sikukaa sana nikasafiri nchi jirani.
Kwa sasa shughuli zangu zinakwenda vizuri na nimerejea niko Dar, hivyo namtafuta Jane nimpe sadaka yangu.
446d86c02bae23e0913e3aa203ced89d.jpg
 
Back
Top Bottom