Janet jackson (50) apata mtoto wa kiume

Mkuu huo uso umekomaa kiutu uzima. Tafadhali usiharibu maana ya neno babby face Hahahaa. Halafu huyo mume mbona ana jina kama la kiislamu hivi
Hakunaga jina la kiislamu wala la kikristo, wewe umekariri tu.

Nenda nchi za kiarabu uone wakristo waarabu wanatumia majina gani.
 
Huyo mwenye sifuri kama anapata hedhi mlete kwangu atapata mtoto tu.
 
Marie de carmen alizaa akiwa na miaka 66 tena mapacha hayo mambo yapo ila kwa wachache sio jambo la ajabu
 
Mkuu huo uso umekomaa kiutu uzima. Tafadhali usiharibu maana ya neno babby face Hahahaa. Halafu huyo mume mbona ana jina kama la kiislamu hivi
janety mwenyewe ni muslim
 
Unaogopa unadhani atajilipua?
Mkuu huo uso umekomaa kiutu uzima. Tafadhali usiharibu maana ya neno babby face Hahahaa. Halafu huyo mume mbona ana jina kama la kiislamu hivi
 
Single mother halafu hana mtoto? hiki ni kingereza cha Ras Simba au umejifunza wapi? Unajuwa maana ya Mother?
Ni kama zile "My wife wangu au my wife wake" zile dizaini za "Barabara ya nyerere road" au "Bahari ya Indian Ocean" au ndio waving zaidi ya uwajuavyo
 
Huyu najuaa atakuwa role model wa wema sepetu

Hivi wema ni mzee kumbe

Kazi kweli kweli,

Ila kuna mzee ana kama 72 halaf ana watoto wadogo wadogo 3

Halaf mzee anapenda mbunye ogopa ila sio dj

Kila kukicha anaoa na kuacha.

Hii ni kwe tu usukumani
 
Hivi wema ni mzee kumbe

Kazi kweli kweli,

Ila kuna mzee ana kama 72 halaf ana watoto wadogo wadogo 3

Halaf mzee anapenda mbunye ogopa ila sio dj

Kila kukicha anaoa na kuacha.

Hii ni kwe tu usukumani
Yaani umri wa kucheza na wajukuu huyo Mzee ndo anacheza na watoto, hapo ni kuwapa tu ndugu kazi ya kusomesha wanao
 
Zaidi ya hapo, ukishafikisha miaka 50 hata kizazi hakiwezi kubeba mimba maana stress kibao!!! Mimba inahitaji akili na moyo viwe vimetulia
 
Ni kama zile "My wife wangu au my wife wake" zile dizaini za "Barabara ya nyerere road" au "Bahari ya Indian Ocean" au ndio waving zaidi ya uwajuavyo
Duh amazing eeehh
 
Wananimaliza hapa wanaposubiri kuzaa later in life, Halle Berry nae kaanza at 40 something.
 
Single mother halafu hana mtoto? hiki ni kingereza cha Ras Simba au umejifunza wapi? Unajuwa maana ya Mother?

Leo unamsahihisha mtu Kingereza!

Imebidi nicheke tu.
 
Ushachanganya maisha ya marekani na Tanzania tayari..wee sijui vipi aagh
 
Ushachanganya maisha ya marekani na Tanzania tayari..wee sijui vipi aagh
Kwani mleta thread aliposhauri kina dada na kaka ambao hawajapata mtoto wavumilie huku akitumia mfano wa Janet Jackson,unahisi huo ushauri amewapa akina dada wa Marekani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…