Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hata mimi imebidi nishangae mkuu .. sijui ni lazima tuonekane tunajua hii lugha au vipi
Hata huyo Mange hawafundishi ujinga wa kiwango hiki, yuko smart kwenye English.Utaambiwa ni Kiingereza 'cha kibongo' hicho.
Kama ilivyo 'worry out'.