warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
shigongo kazini
Mnamsingizia hii habar haijatoka kwa shigongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shigongo kazini
Jamani mmeambiwa polisi walishafahamishwa. Polisi huwa hawachukulii mchezo mambo ya msiba. Kwa hiyo lazima wamechunguza wakaona Hamna wa kumuhunganisha. Kitu gani mnataka. Msizushe habari mpya. Kama mnaona tatizo nendeni polisi mkaulize na si uzushi
Binamu asikwambie mtu, HAKUNA UMBEA MTAMU KAMA WA MSIBANI, siku hiyo utajua kila kitu, watu wanajishaua kukesha na kuji keep busy na msiba kumbe hakuna lolote wanataka umbea tu, chezeya , mi ndo navaa niende tabata nikawasikie majiran uko
Misiba ina umbea asikwambie mtu! majirani ni wambea sana kwenye misiba naona Mbasha akaona isiwe tabu akawakaukia.
Na vile ana kesi mahakamani.....angetetwaaa hadi angekonda...watani ndo wangemdhihaki live...aliona mbali mkaka wa watu..
Lakiiini hem ngoja kwanza,
Hiyo barua ina maana marehemu alienda kuipost kwanza ndo akajiua?
Kama walikuwa wanaish wawili tu ina maawma ema alikuwa wa kwanza kukuta mwili,ryt?hakuiona hyo barua?
Halaaafu kwan ni lazima aweke msiba?c marehemu ana ndugu?ç walipewa taarifa?pôlice nao c waliambiwa?
Nawaza tu!
Ndo nawashangaa hao majiran akina Dinazarde kila kitu wanataka kuambiwa, ujiran ndo imekuwa kosa kila kitu muambiwe mfyuu na kawakomesha umbea tu
warumi huyu baba kumbe ni shoga mzoefu??? halafu hii habari mbona kama haina kichwa wala masikio haijakamilika?? huyo alietoaujumbe alijuaje na ndani wanaishi wawili au yeye alikuwa ni mpiga chabo wao??
Waongo tu, wanamsingizia!
Mungu atamsaidia tu emma
Hhhhjaaaaaaaaaaaaa loooo
We mbayaaaaaaaaaaaaa
Sio kumsingizia , anaweza kufanya , kwan ata yeye ni binadamu, sema tu hatuna uhakika