Janga jingine lamkuta Emmanuel Mbasha, inadaiwa kaficha habari kuhusu mfanyakazi wake aliyejinyonga

Janga jingine lamkuta Emmanuel Mbasha, inadaiwa kaficha habari kuhusu mfanyakazi wake aliyejinyonga

Lakinj kuisema au kuiteta maiti sio vizuri binam ooooh,japo kweli msibanii umbeaa haukosiii na ule kuanza kuchunguzana yule ni nani,kavaaje vile,wakiwa nazo pesa ndio kwanza watu hawaondoki msibaniiiii
Inaonyesha mbasha alikwepa kulisha nzengo

Mi napiga umbea popote pale na yeyote yule
 
Wewe unaejifanya jirani ujulishwe msiba haukuhusu wann.mnafiki mkubwa unajifanya msamaria mwema mnafiki mkubwa.
 
Kila ninapoona ID yako huwa nafananisha na yule daktari wa meno ya tembo Mh Profesa Captain Abdulrahman Kinana.

Hahahaaaa....halafu katika hilo jina lake kuna surname yangu Wallahi....
 
alimbaka na huyo nini? sio bure akijionea kuishi yakazi gani tena namtu mwenyewe alienibaka anakesi ya ubakaji tayari na bado jamii inamtetea kwamaovu yake nasio bure haki isitendeke hata ingekuwa mimi najiIringa
 
walijuaje km kuna msiba
wao walijuaje kaacha ujumbe?!!
na kwa mapito ya mbasha bora alivyofanya siri mi simlaumu
cha msingi mamlaka kamili wana taarifa baas
halafu yule ni house boy sio ndugu yake kwao singida
ye msiba hakuwa na haja ya kutangaza km kampeni kawaambia polisi wamesafirsha
na kingine kaepuka bajeti mwenzangu na magharama
hapo ndo hawajaambiwa

Nimechekaje hapo kwenye magharama?
Na hivi misiba imekua kama sherehe kama hujajipanga ni sheeda
 
Daah eti kaenda kureport polisi, halafu akasafirisha kwenda singida! Yaani polisi wakampa ruhusa au? Hawakuja hata kukagua mazingira ya kifo? Basi huyu Mbasha ni mtu mzito sana hadi yupo juu ya sheria.

shigongo kazini
hapo kashapeleka watoto chooni!!
wakati mwenzie kamchafulia jina
 
Nimechekaje hapo kwenye magharama?
Na hivi misiba imekua kama sherehe kama hujajipanga ni sheeda

kweli siku hizi misbani shurti ujipure
ukienda rafu unapats haya unakuta mfiwa kauramba hatarii
 
Wewe unaejifanya jirani ujulishwe msiba haukuhusu wann.mnafiki mkubwa unajifanya msamaria mwema mnafiki mkubwa.

Hahaha, hao majiran wa mastaa wana kazi kweli kweli , wanataka msiba, ningekuwa mimi hakyamungu ningewachapa manina zao
 
MMh apa kuna harufu nzito ya uwepo wa GWAJIMA kummaliza emmanuel mbasha kwa namna yeyote na ninahis tu KAMA HUYO KIJANA AJAULIWA SIJUI, apa kuna mchezo mchafu, ila tutajua tu wambea wa mujini, ngoja kwanza

mr.helcopter kamtoa kafara halafu jumba bovu kamdondoshea imma
 
Nimechekaje hapo kwenye magharama?
Na hivi misiba imekua kama sherehe kama hujajipanga ni sheeda

Ila mi sijaona umuhimu wa kuweka msiba pale kwake. KAMA NDUGU HAWAPO DAR HUO MSIBA ANAMUWEKEA NANI? HAO MAJIRANI WANA UNDUGU NA MAREHEMU KAMA SIO UMBEA ULIOVUKA MPAKA?? mfyuu manina zao mfyuu, KAMA MISIBA WANAONA DILI WAWEKE KWAO mbwa hao mfyuu, msiba my foot
 
Wewe unaejifanya jirani ujulishwe msiba haukuhusu wann.mnafiki mkubwa unajifanya msamaria mwema mnafiki mkubwa.

tena mnafiki sana sana sana
sijui alikua hana hela ya kulaa?!!
maana shigongo analipa watu siku hizi wakimpelekea habari!
 
kweli siku hizi misbani shurti ujipure
ukienda rafu unapats haya unakuta mfiwa kauramba hatarii

Mh...sijui siku hizi ni watu hawaumii wakifiwa jamani?inakuwaje mtu umefiwa unajipura/kuuramba?
 
Mi nilihis tu maana siku izi binamu ukiona mwanaume handsome muogope, bora sura ngumu, kwan binamu msukuma wako n handsome kama mbasha? Usikute florah kakimbia vitu vingi kwa kweli, tutavijua tu

Hhhhhhaaaaa msukuma wangu wa kawaida tu sitaki awe mzuri sana wamtamani wengi napenda alivyo na sura ya kiume sio ya kike, ,binam huyo demu chini mwenye masizi usoni ndo demu wako
 
Na miwan juu, watu misiba silu izi wanahangaika kuazima suti na magar maninaa

yaani siku hizi ni shiidah!!
kuna msiba nilienda acha tu ikabidi nende mpaka kinondoni kuzika badala ya kuishia keko pale magorofani
maana ulikua wa kwenhe video
 
Back
Top Bottom