Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
hii ni kubwa kuliko, kama alimla tigo hii inamaanisha hata bibie Flora hana marinda tena
Haha hahaaaaaa jamani....:sly::sly:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii ni kubwa kuliko, kama alimla tigo hii inamaanisha hata bibie Flora hana marinda tena
Lakiiini hem ngoja kwanza,
Hiyo barua ina maana marehemu alienda kuipost kwanza ndo akajiua?
Kama walikuwa wanaish wawili tu ina maawma ema alikuwa wa kwanza kukuta mwili,ryt?hakuiona hyo barua?
Halaaafu kwan ni lazima aweke msiba?c marehemu ana ndugu?ç walipewa taarifa?pôlice nao c waliambiwa?
Nawaza tu!
binamu wabongo wambea sana
tujiulize kitu jirani ndo polisi?
au mzazi?au mjumbe?
uswahili umewaja hao hapo hakuwaambia...
angewaambia si wangetuma picha nk kwenye mitandao
majirani wengine nuksi kweli
binamu wabongo wambea sana
tujiulize kitu jirani ndo polisi?
au mzazi?au mjumbe?
uswahili umewaja hao hapo hakuwaambia...
angewaambia si wangetuma picha nk kwenye mitandao
majirani wengine nuksi kweli
Laana hiyo kama kweli alimsingiza gwajima katoka na mke wake wakat sio kweli, basi ndo mapigo hayo yanamfuata
Ila majirani nao wambea, kidizain ni type za akina Dinazarde na warumi, sasa wanataka waambiwe kama mfanyakaz kafa ili iweje? Ndugu si walishaambiwa na polisi?? Mmh ujirani wa kibongo nuksi, bora mie nshatafuta kiwanja bahar beach nikitulia zangu sitak umbea wa majiran
Tunazugwa tusahau habari za makonda na warioba polisi wanhekubal mazishi bila kesi aghrrrr
Lakiiini hem ngoja kwanza,
Hiyo barua ina maana marehemu alienda kuipost kwanza ndo akajiua?
Kama walikuwa wanaish wawili tu ina maawma ema alikuwa wa kwanza kukuta mwili,ryt?hakuiona hyo barua?
Halaaafu kwan ni lazima aweke msiba?c marehemu ana ndugu?ç walipewa taarifa?pôlice nao c waliambiwa?
Nawaza tu!
binamu wabongo wambea sana
tujiulize kitu jirani ndo polisi?
au mzazi?au mjumbe?
uswahili umewaja hao hapo hakuwaambia...
angewaambia si wangetuma picha nk kwenye mitandao
majirani wengine nuksi kweli
Mimi nahisi baada ya kuukuta mwili alichanganyikiwa hata hiyo barua hakuiona...maana nahisi kijana atakua kaacha ujumbe kwa nini kajiua na nahisi pia ema ni mojawapo ya sababu....unadhani angeikuta angesema?si kesi nyingine...hiyo barua watakua wameiona polisi...
Majirani nuksi kwa kweli mhh, yan wanataka kuambiwa kila kitu, wampishe emma wa watu
Jamani best....msiba ni jambo la kuficha kweli?si unawaeleza majirani mnasaidiana...umeona wapi msiba wa wanandugu pekee???
Kuna jambo hapo tena zito ndio maana jamaa akafanya siri...lakini kuna siri dunia hii?mbona tumeshajua...
Nlitaka kusema hivyo hivyo...hao majirani nao wambea..Jamaa hajaweka matanga...wanaona wamebaniwa chance ya kupiga umbea....manake watu wanatetana msibani hadi wanajisahau wanaanza kumteta marehemu..utasikia "twende mbele na kurudi nyuma, marehemu alikuwa anaringa lakini...eeh Mungu amrehemu huko aliko"......khaaaa
Umbea raha lakini.. ....
"Amejinyonga na kuacha ujumbe kuwa kwa yaliyomkuta ameamua bora ajinyonge" Mwisho wa kunukuu!!
1. Emmanuel hakutoa taarifa polisi, na imeandikwa kuwa tukio lilifanywa siri, sasa huyo Jirani aliona vipi huo ujumbe???
2. Mwili pia ulisafirishwa kwa siri, swali langu liko palepale huyo Jirani alipataje kuona ujumbe?
3. Nyie mnaosema tumepata ujumbe ni akina nani?!!
MSiba mwenzangu sio harusi kusema unaweza kuoa siri siri, ila pia kuna shida, kwa nini asiwaambie majiran kuwa kijana wake wa kazi kafariki au huyo imma na huyo kijana walikuwa wanaishi bila kushirikiana na majirani kwa namna yeyote?? Apa kwa kweli kuna bonge la kiulizo sio sawa, ata kama hapendi UMBEA ila sio kwenye msiba kwa kweli
Ndo najiandaa apa na kundi langu twende uko tabata tukasikilize umbea kwa majirani