The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Kwa sasa, betting ni janga kwa waafrika na neema kwa matapeli na watawala mafisadi.
Je, chanzo zaidi ya ujinga na uvivu wa kutafuta ni nini?
Alaumiwe nani lati wanaobet, wanaoendesha betting, na watawala wanaoridhia jinai hii?
Nini kifanyike?
Kama watu na taifa tunafaidika au kuathirika vipi?