World product
Senior Member
- Jun 4, 2024
- 115
- 288
Habari wakuu
Niende kwenye ujumbe moja kwa moja kumekuwa na tatizo ambalo tunalichukulia kwa masiahara sana kwa sababu madhara yake sio yanaweza kuonekana kwa macho na kwa haraka, tunajifariji kuwa betting ni Ajira, hili ni bomu ambalo baada ya miaka kumi mbele tunakuwa na jamii ya watu wenye matatizo ya afya ya akili kwa kiasi kikubwa, unaweza sema betting ni kwa vijana wasio na kazi lahasha mpaka ambao wapo na ajira wamejiingiza kwenye hili Janga.
Betting inaleta ugonjwa wa akili kwa kaisi kikubwa katika jamii ukiacha kupoteza mali.Vijana kwa wazee wanabet sana siku hizi
Betting imekuwa kama pombe kali kusema kila siku lazima ubet iwe kwenye mpira wa michezo mingine ya kamari.
Kamari au betting tena ya online ndio tatizo kubwa sana inawafanya wazee kwa vijana wapate msongo wa mawazo wazee kwa vijana
Kwa kiasi kikubwa amepata sasahivi (gambling disorder)kutokana na betting addiction
Tuandae rehab center za kuokea walizama kwenye hili janga ila wanatamani kuacha ila kutokana nakukosa msaada wa kitaalamu waishia kupata majanga ya kujitoa uhai.Tusiwahukumu kwa kuwaona wajinga ila ni uraibu mkubwa sana ambao ni kama uraibu mwingine tena ni mbaya sana maana hauonekani kwa haraka kama madawa ya kulevya au pombe kali
Nawasilisha
Bro serious issue betting haina uzoefu nimeandika nikiwa najua madhara yake kwasababu nimebetting karibia michezo yote kampuni zote premier,pm,meridian ,betika,betpawaUnaonekana ni mzoefu. Ni app gan unatumia wewe kubetia?.
Naunga mkono.Na ujinga wa baadhi ya wanaobet wanaamini ipo siku "watamlaza kanji na viatu"
Bila kujua determination ya kumla muhindi bila kujua mtu anazidi kuwa addicted+kupoteza zaidi
Kutajirika kupitia betting ni ndoto ambayo wengi wanatakiwa kuamka kabla hawajajikojolea, hakunaga hela rahisi
Nikweli ila ukiwa na addiction kumbuka unabishan na ubongo wako bila msaada wa kitaalam ni ngumu kuong'okaNa ujinga wa baadhi ya wanaobet wanaamini ipo siku "watamlaza kanji na viatu"
Bila kujua determination ya kumla muhindi bila kujua mtu anazidi kuwa addicted+kupoteza zaidi
Kutajirika kupitia betting ni ndoto ambayo wengi wanatakiwa kuamka kabla hawajajikojolea, hakunaga hela rahisi
Nimekutega tu.Bro serious issue betting haina uzoefu nimeandika nikiwa najua madhara yake kwasababu nimebetting karibia michezo yote kampuni zote premier,pm,meridian ,betika,betpawa
Betting inakuattract uweke zaidi ukisikia mtu anaweka 100 au 500 huyo sio mtu anayebet hapa nazungumzia 100k na kuendeleaNaunga mkono.
Kuna mwaka jamaa nilimfululiza kumpiga mpk ikafika 4M within a two weeks , wee jamaa alianza kurudisha pesa yake kama masikhara, na betting ukiwa na hela basi hata stake zinabadilika.
Yeah!! Na kujinasua kwenye huu mtego sio jambo dogo kila siku utajiambia leo ya mwisho.Betting inakuattract uweke zaidi ukisikia mtu anaweka 100 au 500 huyo sio mtu anayebet hapa nazungumzia 100k na kuendelea
hivi kuna shughuli gani ya kuingiza fedha ambayo sio hatari hapa duniani..?Habari wakuu
Niende kwenye ujumbe moja kwa moja kumekuwa na tatizo ambalo tunalichukulia kwa masiahara sana kwa sababu madhara yake sio yanaweza kuonekana kwa macho na kwa haraka, tunajifariji kuwa betting ni Ajira, hili ni bomu ambalo baada ya miaka kumi mbele tunakuwa na jamii ya watu wenye matatizo ya afya ya akili kwa kiasi kikubwa, unaweza sema betting ni kwa vijana wasio na kazi lahasha mpaka ambao wapo na ajira wamejiingiza kwenye hili Janga.
Betting inaleta ugonjwa wa akili kwa kaisi kikubwa katika jamii ukiacha kupoteza mali.Vijana kwa wazee wanabet sana siku hizi
Betting imekuwa kama pombe kali kusema kila siku lazima ubet iwe kwenye mpira wa michezo mingine ya kamari.
Kamari au betting tena ya online ndio tatizo kubwa sana inawafanya wazee kwa vijana wapate msongo wa mawazo wazee kwa vijana
Kwa kiasi kikubwa amepata sasahivi (gambling disorder)kutokana na betting addiction
Tuandae rehab center za kuokea walizama kwenye hili janga ila wanatamani kuacha ila kutokana nakukosa msaada wa kitaalamu waishia kupata majanga ya kujitoa uhai.Tusiwahukumu kwa kuwaona wajinga ila ni uraibu mkubwa sana ambao ni kama uraibu mwingine tena ni mbaya sana maana hauonekani kwa haraka kama madawa ya kulevya au pombe kali
Nawasilisha
Huwezi kuongea ukweli au vile unajisikia unapobet au usipobet , ni swala linaloongozwa wa hisia usizoweza kujicontrol na ukiona umeweza basi ujue umefaulu huu mtihaniNimekutega tu.
Nilitaka kujua kama ww ni Mkamaria au Lah.
Ni burudani ,hata madawa ya kulevya huwa ni burudani kwa mara ya kwanza ila baada ya hapo unaanza kuwa mtumwa wakeBetting ni burudani mkuu siyo kama kamari
Imagine mtu hahaha toka asubuhi Hana hata Mia, ukimpa efu 5 anapeleka yote kubetiNa ujinga wa baadhi ya wanaobet wanaamini ipo siku "watamlaza kanji na viatu"
Bila kujua determination ya kumla muhindi bila kujua mtu anazidi kuwa addicted+kupoteza zaidi
Kutajirika kupitia betting ni ndoto ambayo wengi wanatakiwa kuamka kabla hawajajikojolea, hakunaga hela rahisi
Ulevi huu tunauchukulia poa kwababu unanufaisha wamilikiBetting ni ulevi wa hatari sana
Hii idiology mkuu itakuponza.hivi kuna shughuli gani ya kuingiza fedha ambayo sio hatari hapa duniani..?
Ukitaka kuamini ni addiction mtu yupo ladhi kufanya kazi ngumu ili apate prsa ya kubetia tu !Imagine mtu hahaha toka asubuhi Hana hata Mia, ukimpa efu 5 anapeleka yote kubeti
Kubeti ni burudani kamari ni ugonjwaNi b
Ni burudani ,hata madawa ya kulevya huwa ni burudani kwa mara ya kwanza ila baada ya hapo unaanza kuwa mtumwa wake