Janga la Betting kwa Watanzania tujiandae na rehab center

Janga la Betting kwa Watanzania tujiandae na rehab center

Be
Hii idiology mkuu itakuponza.
Risk kwenye gambling ni kubwa zaidi na hakuna kurecover kwepesi pia hakuna funzo kwenye betting kwamba ulikosea kubett kesho ufanye hivi.
Bro to bro betting sio kupoteza pesa tu bali unapoteza mfumo wako wa akili unakuwa mlevi shida wengine tunaona to inject or kunywa ndio ulevi but saikolojia ikiharibika ujue umekwisha
 
Kutajirika kupitia betting ni ndoto ambayo wengi wanatakiwa kuamka kabla hawajajikojolea, hakunaga hela rahisi
Namjua mtu Iringa, alimpiga Kanji Mil 80, kupitia hiyo mil 80 sasa ni exporter wa maharage.

Namjua mtu Dom alimpiga kanji Mil 46, na sasa ni investor wa industry ya burudani.

Maisha hayana Formula.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom