Janga la Betting kwa Watanzania tujiandae na rehab center

Janga la Betting kwa Watanzania tujiandae na rehab center

Namjua mtu Iringa, alimpiga Kanji Mil 80, kupitia hiyo mil 80 sasa ni exporter wa maharage.

Namjua mtu Dom alimpiga kanji Mil 46, na sasa ni investor wa industry ya burudani.

Maisha hayana Formula.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Sipingi usemacho ila nakuambia huwezi kupingana ubongo wako nitajie watu 100 waliofanikiwa kwa betting ambao wapo kwenye circle yako ila watu walioharibika unaweza kuwaona ila pia unaweza usione kwasababu betting haina alama kusema huyu ni betting imemuharibu ila utasingiziwa uchawi
 
Everything is gambling in life.
Kila siku frame za maduka mjini zinapata wapangaji wapya.
Wazamani wako wapi?

That is life.

Try and Error until kutoboa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mkuu mtu akianguka kwenye biashara kunasomo anapata afanye vipi au aswitch vipi na kikubwa zaidi anaweza okoa mtaji hata nusu.
Lkin kwenye Betting hamna somo kwasababu 100% ni bahati nasibu.
 
Baba jana nimepigwa 400K.
Bare in your mind hapo J3 nilipiga 800K ,, inshort gambling haswa betting pesa utakula lkn siku chache baada ya hapo sijui wanakutumia majini unapigwa vipigo mpk unaacha ndala.
Sio majini bali mtengezaji amtumia formula ya samaki anaweka chambo then anachukua kidogo kidogo kulingana na uwezo wako wa kifedha
 
Umeona hiyo hali ndio ilikuta watumiaji wa madawa ya kulevya kuamini kuwa kumwambia atajua mwenyewe hujengea hali ya kutoacha hiyo michezo
Watu wametofautiana , hata pombe kuna ambao wanakunywa kama starehe na wengine wanakunywa na kuathirika , labda kitu na shangaa kwenye kamari iweje maskini acheze kamari? Hiyo ni michezo ya matajiri.
 
Watu wametofautiana , hata pombe kuna ambao wanakunywa kama starehe na wengine wanakunywa na kuathirika , labda kitu na shangaa kwenye kamari iweje maskini acheze kamari? Hiyo ni michezo ya matajiri.
Kuna hiyo Bar ipo Zanzibar kuna wasela kwa wakati mmoja wanacheza pooltable, anakunywa spirit, anacheza bonanza na bado anamkeka kwenye simu.
 
Back
Top Bottom