Janga la Betting kwa Watanzania tujiandae na rehab center

Janga la Betting kwa Watanzania tujiandae na rehab center

Haya maisha kila mtu kapewa zigo lake ajitwike, kuna sisi ambao hata app ya betting hatuijui ilanyeto inatumaliza.
Dunia haitaki tupoe, haitaki tuwe na amani haitaki tuwe na furaha.

Kila kitu kimesukwa kwa structure ya kipekee! Haiwezi kuzivuka , ukikosa dini utakutana na ulevi wa pombe, njoo kwenye energy drink, njoo kwenye visungura, njoo kwenye video zetu zile na nyeto huku kuna betting , kule kuna siasa na mipira ya miguu, huku kuna mitindo ya ngono!

Kwa ufupi hamna pa kuponea, pona nilie mtu umeingia kaburini hapo utakuwa umevuka, nako huko sijui kuna adhabu zake!!!
 
Habari wakuu
Niende kwenye ujumbe moja kwa moja kumekuwa na tatizo ambalo tunalichukulia kwa masiahara sana kwa sababu madhara yake sio yanaweza kuonekana kwa macho na kwa haraka, tunajifariji kuwa betting ni Ajira, hili ni bomu ambalo baada ya miaka kumi mbele tunakuwa na jamii ya watu wenye matatizo ya afya ya akili kwa kiasi kikubwa, unaweza sema betting ni kwa vijana wasio na kazi lahasha mpaka ambao wapo na ajira wamejiingiza kwenye hili Janga.
Betting inaleta ugonjwa wa akili kwa kaisi kikubwa katika jamii ukiacha kupoteza mali.Vijana kwa wazee wanabet sana siku hizi
Betting imekuwa kama pombe kali kusema kila siku lazima ubet iwe kwenye mpira wa michezo mingine ya kamari.
Kamari au betting tena ya online ndio tatizo kubwa sana inawafanya wazee kwa vijana wapate msongo wa mawazo wazee kwa vijana kwa kiasi kikubwa wamepata sasahivi (gambling disorder)kutokana na betting addiction.
Tuandae rehab center za kuokea walizama kwenye hili janga ila wanatamani kuacha ila kutokana nakukosa msaada wa kitaalamu waishia kupata majanga ya kujitoa uhai.Tusiwahukumu kwa kuwaona wajinga ila ni uraibu mkubwa sana ambao ni kama uraibu mwingine tena ni mbaya sana maana hauonekani kwa haraka kama madawa ya kulevya au pombe kali
Nawasilisha
Lema, heche na mchungaji Msigwa ni miongoni mwa addicts wakubwa mno wa hiyo nonsense gentleman 🐒
 
Haya maisha kila mtu kapewa zigo lake ajitwike, kuna sisi ambao hata app ya betting hatuijui ilanyeto inatumaliza.
Dunia haitaki tupoe, haitaki tuwe na amani haitaki tuwe na furaha.

Kila kitu kimesukwa kwa structure ya kipekee! Haiwezi kuzivuka , ukikosa dini utakutana na ulevi wa pombe, njoo kwenye energy drink, njoo kwenye visungura, njoo kwenye video zetu zile na nyeto huku kuna betting , kule kuna siasa na mipira ya miguu, huku kuna mitindo ya ngono!

Kwa ufupi hamna pa kuponea, pona nilie mtu umeingia kaburini hapo utakuwa umevuka, nako huko sijui kuna adhabu zake!!!
Mmmh!!!
 
1786170743810.png

Nawakumbusha tu nakujikumbusha pia
 
Back
Top Bottom