Janga la Betting kwa Watanzania tujiandae na rehab center

Zamani nilikuwa nawashangaa sana wacheza kamari za korokoro mitaa ya magomeni makuti na Magomeni garden (karibu na Magomeni hospital) kulikuwa na vibanda vingi vya wachezeshaji kamari ila kuingia mule ilikuwa ngumu kutokana na mazingira ua kihuni yalivyokuwa...

Siku hizi betting ipo kiganjani
 
 
Kuna documentary ya Kenya,mdada mmoja alitangazwa ameshinda na makampuni matatu tofauti, kumbe walikuwa wanamtumia kuhadaa watu na wala huyo mdada hakuwahi kucheza betting ya kampuni yoyote ile

Kuna documentary ya Kenya,mdada mmoja alitangazwa ameshinda na makampuni matatu tofauti, kumbe walikuwa wanamtumia kuhadaa watu na wala huyo mdada hakuwahi kucheza betting ya kampuni yoyote ile.
Wakati fulani nikiwa Ughaibuni kuna Msela ( Michael Carrol) alilamba loattery £9,736,131 mwaka 2002, Katika mwaka wa 2002, £9,736,131 zilikuwa na thamani ya takriban Shilingi za Kitanzania (TZS) bilioni 14.15 hadi bilioni 14.82, takriban Shilingi za Kitanzania (TZS) bilioni 34.61. kwa rate ya leo. Ilimchukua Michael Carroll takriban miaka 8 hadi 10 kufuja na kumaliza kabisa utajiri wake wa pauni milioni 9.7. Sasa hivi Michael Carroll hana utajiri wowote wa maana na akaunti yake haina kitu Alikua anafanya kazi ya kukusanya takataka halmashauri ya mji, baada ya kufilisika akarudi kwenye kazi yake hapa chini yupo kazini na uniform

anakula maisha kabla pesa hazijaisha. alipata hizo hela akiwa na miaka 19 akafilisika akiwa na 28
 
Mleta uzi leo weka pesa ya kodi kabisa kwa
Manchester city
Chelsea
Porto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…