covid ni serikali 100 % kama serikali ya angola imepanga hivyo basi hiyo ni amriWe jamaa naona unaleta ubishi tu mimi nakuambia Angola wamefanya utoto wa kijinga, kwani wachezaji wangapi wanakutwa na COVID hatua zichuliwazo ndio hizo??
Kila nchi ina sheria zake.We jamaa naona unaleta ubishi tu mimi nakuambia Angola wamefanya utoto wa kijinga, kwani wachezaji wangapi wanakutwa na COVID hatua zichuliwazo ndio hizo??
Tatizo lako unataka kuleta siasa za bongo kwenye mpira wa kimataifa, game haijaahirishwa sababu ya vipimo vya Angola kusema wachezaji 3 wa Namungo wamekutwa na Corona ila wamehairisha sababu ya fitna na sintofahamu iliyoletwa na jeshi la Angola.covid ni serikali 100 % kama serikali ya angola imepanga hivyo basi hiyo ni amri
Sheria inaweza kutumika vibaya kufanyia fitna, ndio maana hadi CAF wamekubali mechi ihairishwe kwa sababu wameona kilichofanyika ni fitna. Tufanye tumekubali wachezaji 3 wa Namungo wapo + Covid, je ni kwa nini wamelazimisha timu nzima iende quarantine tena ndani ya kambi ya jeshi kwa shurti huku abiria wengine waliofika nao kwenye ndege wameruhusiwa kuendelea na shughuli zao?Kila nchi ina sheria zake.
Hata game ya Kaizer na Raja imefutwa.
Kwani wao hawatakuja bongo? Kutesa kwa zamu.Wakubali kukaa karantini hizo siku ili gemu ipigwe hakuna namna ukizingatia wapo kwenye ko stage na ratiba haiwasubiri, vinginevyo angola watapewa point za mezani. Aibu kwa nchi
Kwanini wapewe pointi wakati serikali ndio imewazuia namungo na si timu iliyopaswa kucheza na namungo?Naona kama namungo ndio wanastahili kupewa point
Nchi nyingi tu jeshi linasimamia protocols za Corona.Sheria inaweza kutumika vibaya kufanyia fitna, ndio maana hadi CAF wamekubali mechi ihairishwe kwa sababu wameona kilichofanyika ni fitna. Tufanye tumekubali wachezaji 3 wa Namungo wapo + Covid, je ni kwa nini wamelazimisha timu nzima iende quarantine tena ndani ya kambi ya jeshi kwa shurti huku abiria wengine waliofika nao kwenye ndege wameruhusiwa kuendelea na shughuli zao?
Rapid PCR test accuracy yake ni ndogo pia inatumia kama dk 15 kutoa majibu, hauwezi toa majibu ya timu nzima ndani ya dk moja, kutokana na maelezo ya Namungo majibu ya timu nzima yalitoka hapo hapo ndani ya dk kitu kinacho onyesha ilikuwa pre planned move.
Kwa nini wamelazimisha msafara mzima kwenda kuwekwa quarantine kwenye kambi ya jeshi kwa shurti huku wasafiri wengine kwenye same flight wakiruhusiwa ?Nchi nyingi tu jeshi linasimamia protocols za Corona.
Halafu Corona unaweza kutest negative leo, baada ya wiki ukatest positive kwa maambukizi ya juzi.
Msilazimishe Kila nchi iwe relaxed, kiss sisi tupo relaxed.
Game ya Kaiser na Raja imefutwa pia sababu Morocco kama nchi nayo ina protocols zake.
Halafu viongozi wafanye kAzi kitaalam kwa kuuliza nini kinahitajika kabla ya kwenda.
Kwanini wapewe pointi wakati serikali ndio imewazuia namungo na si timu iliyopaswa kucheza na namungo?
Weka ushahidi, nimesoma statement ya tff hapo juu sijaona haya unayodai, taarifa ya majaliwa haina maelezo haya, nimesoma protocols za angola ukweli wapo strictly na covid. Mnaingiza propaganda kupindisha ukweli kwa malengo maalumKwa nini wamelazimisha msafara mzima kwenda kuwekwa quarantine kwenye kambi ya jeshi kwa shurti huku wasafiri wengine kwenye same flight wakiruhusiwa ?
Unakomaa na mpira wa majitaka 2021Match itaenda kuchezwa kwenye nchi nyingine, Angola watapoteza fursa ya kuwa wenyeji na wakija Tz tunawapiga fitna tena, wachezaji kama 6 hivi watakuwa na Corona.
Rudi jukwaa la siasa, hujui mpira na hujui kinachoendelea kwenye mpira. Taarifa ya kwanza kutoka ambayo ilikuwa na maelezo yote ni mahojiani ya Rais wa Namungo na mwandishi wa bongo, hiyo clip ndio imetoa taarifa iliyofanyiwa kazi na Serikali ( PM) na TFF. Au ulidhani Majaliwa na TFF wameota tu Namungo wapo ndani ya kambi ya jeshi?Weka ushahidi, nimesoma statement ya tff hapo juu sijaona haya unayodai, taarifa ya majaliwa haina maelezo haya, nimesoma protocols za angola ukweli wapo strictly na covid. Mnaingiza propaganda kupindisha ukweli kwa malengo maalum
Wao Angola walitaka kufanya fitna za kijinga inaenda kula kwao, Simba hapa Jan tu waliwapiga wachezaji 4 wa Platinum FC Corona ili match iliendelea, unajua hata hilo ?Unakomaa na mpira wa majitaka 2021
CAF nao si waseme wameiairisha kuliko kusema wamefuta.Hii ndio taarifa ya sasa kutoka CAF kutokana na sakata la wachezaji watatu na kiongozi mmoja wa Namungo kukutwa na corona
Tusubiri taarifa zaidi kutoka CAF ambalo ndio shirikisho linalosimamia soka barani Africa
View attachment 1701605
Kwanini wapewe pointi wakati serikali ndio imewazuia namungo na si timu iliyopaswa kucheza na namungo?
Usipende kufikiria hujuma. Hujuma huepushwa na good planning.Kwa nini wamelazimisha msafara mzima kwenda kuwekwa quarantine kwenye kambi ya jeshi kwa shurti huku wasafiri wengine kwenye same flight wakiruhusiwa ?