Janga la Corona limempaisha Rais Magufuli kisiasa

Mbona imerudi sasa?
Imerudi kwa juhudi za waliyotaka hiyo hofu iendelee kuwepo ila hata sio kwa kiwango cha mwanzo tena hasa kama ingeachwa iendelee toka kipindi kile hadi sasa.
 
Bado anapaa kisiasa?
 
Unasemaaaa?
 
Hujaona wasi wasi aliounesha kuhusu hizo chanjo, nchi nyingi za ulaya zimemuunga mkono na kuzistisha (suspend)!
Kwanza kabisa acha uongo kusema wamemuunga mkono, kisha ujue kama Australia wameipitisha na wanaitumia basi tulia, "AstraZeneca" itatumika ulaya yote wakimaliza uchunguzi wao wa kisiasa, na kwa taarifa yako hakuna nchi ya africa yenye uwezo wa kuikataa chanjo wenye dunia yao wakiamua. Turudi kwenye hoja, ukisoma vizuri huu uzi kuna mahali mleta uzi ameitaja chanjo? Je hizo sababu za kwenye uzi bado zinampaisha?
 
Mawazo ya kijinga kabisa
 
leo amezidi kupaa.
 
Janga limempaisha kweli
 
Yeah. Limempaisha hadi mawinguni sasa!!
 
Kweli limempaisha hadi sayari nyingine na nchi haitamuona tena. Asante Mungu.
 
Hujaona wasi wasi aliounesha kuhusu hizo chanjo, nchi nyingi za ulaya zimemuunga mkono na kuzistisha (suspend)!
Yani hadi wazungu wenyewe wamechoka Lockdown ujue Mh.Magu aliona mbali......
 
Katika maisha mwanadamu lazima upitie stage tatu KUZALIWA, KUISHI NA KUFA. Usisahu hilo mkuu maana sisi wote ni marehemu watarajiwa
Mku hao uko wao hawafi maana Babu mzaa Babu mzaa Baba yake wote bado wanaishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…