Janga la corona: Serikali iseme mapema kama itafungua vyuo na mashule au itaongeza muda watu wajipange

Janga la corona: Serikali iseme mapema kama itafungua vyuo na mashule au itaongeza muda watu wajipange

Kuna watu wenye akili na utimamu kuliko awa jamaa na wapinzani wetu wa Ufipa? Sema sisi huku Lumumba tunajitutumua tu ila upstairs tupo chini sana.
Hao watu wakiachaga marijuana na kumsifia/kumtetea mfalme wao mbowe hua akili zinarudi kama zamani walivyoanza darasa la kwanza
 
NI KWELI SEREKALI INABIDI WATOE TAARIFA TUJUE KAMA SHULE ZITAFUNGULIWA AU BADO TUTAENDELEA KUISIKILIZIA HII CORONA, SABABU BAADHI YA WANACHUO KODI ZA NYUMBA ZINAISHIA SIKU SIO NYINGI SASA WANAWEZA WAKALIPA WAKAAMBIWA TENA TUNAONGEZA SIKU NYINGINE KADHAA ZA KUFUNGA, ITAKUA WAMEINGIA HASARA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fact.
Tena ingekuwa vizuri watoe taarifa mapema make Kuna wazazi hawajui wafanyeje kuhusu nauli za watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeambiwa sasa tunakwenda hatua nyingine ya local community spreads na hatua hiyo itafanya watu wote tuvae barakoa tunapotoka nyumbani na tuwapo kwenye public. Kwa mtazamo wangu hatua hii ni mbaya kuliko tulikotoka na hivyo ukizingatia kuwa shule na vyuo navyo ni communities ni dhahiri kuwa muda wa wanafunzi kukaa nyumbani utaongezwa hivyo ni sawa serikali kuwaeleza wananchi mapema.
 
Muda zaidi unahitajika. Hali ya sasa ni mbaya kuliko wakati ule masomo yanaahirishwa. Umakini unapswa kuongezwa. Mihula ya masomo ipangwe upya kwa kipindi hiki kuakisi na kuendana na hali ya dunia.
 
Kama wewe ni mwanachuo inasikitisha sana. Hivi hebu jipe nafasi ya kuwa serikali ungetoa majibu gani saa hii? Hivi nani ajuae hiyo tarehe 17/04 kutakuwa na wagonjwa wangapi? Inaweza sema? Leo tutafungua vipi ikifika tarehe hiyo tukawa na wagonjwa 1000 au waseme hatufungui vipi kama tukafika tarehe hiyo uwezo wa Mungu tukawa hatuna hata mgonjwa mmoja na wote hospital wamesharecover.

Kikubwa tumia to your common sense, UDSM Majengo ni quarantines, kuna wageni wanaoingia kila siku na wanahitaji 2 weeks kuconfirm. Logically utaona nafasi ya kurudi vyuoni kwa tarehe ni ndogo mno.Kama ni kodi ni bora huihifadhi au ikiwa unaona ulipoishi pazuri sana, lipa bila kujali utapatumia au la ili upashike vinginevyo USISAHAU KUNAWA MIKONO KWA MAJI YANAYOTIRIRIKA NA SABUNI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shule ziko katika hali ya dharula na maamuzi yote yatakayotolewa yatakua ni ya dharula. Hivyo mwanafunzi/mzazi uishi pia katika hali ya dharula maana muda wowote maamuzi yoyote yanaweza tolewa kulingana na hali ya ugonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu likizo kuongezwa ni pie. Ingawa kuna wazazi wamewachoka watoto wao hadi dakika hii wanaongeza gharama za maisha homeboi 🤣🤣🤣

Nimekutana na bi. mkubwa dukani analalamika kichizi.
 
NI KWELI SEREKALI INABIDI WATOE TAARIFA TUJUE KAMA SHULE ZITAFUNGULIWA AU BADO TUTAENDELEA KUISIKILIZIA HII CORONA, SABABU BAADHI YA WANACHUO KODI ZA NYUMBA ZINAISHIA SIKU SIO NYINGI SASA WANAWEZA WAKALIPA WAKAAMBIWA TENA TUNAONGEZA SIKU NYINGINE KADHAA ZA KUFUNGA, ITAKUA WAMEINGIA HASARA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nawaza kodi yangu inaisha mwezi huu wa nne tarehe 22 na bado hali haieleweki
 
Taarifa ya Waziri wa Afya jana ni kuwa kufuatana na predictions/projections za WHO kwa Tanzania ni kuwa na maambukizi ya zaidi ya watu 10,000 mwezi May.

Kila mmoja pamoja na Serikali ni kuweka jitihada kuhakikisha hatuifikii namba hiyo lakini uwezekano mkubwa ni kuwa maambukizi yataongezeka maradafu.

Haitegemewi maambukizi ya ugonjwa huu yatapungua kabla ya June. US predictions zinazotokana na trend ya ugonjwa huu, ni kuwa maambukizi yataanza kupungua mwezi September.

Hakuna namna yoyote ile ya kutegemea vyuo na shule kufungua kabla ya June.
 
Ni ukweli nchi kukaa bila kufundisha wanafunzi, walimu, madaktari, manesi, mafundi, madereva, mapolis, wanajeshi.je itakuwa Ni nchi? Ushauri wangu serikali ifungue shule Na vyuo, pia igawe vifaa vya kujikinga Na maambukizi hayo maeneo hayo.pia bunge lilipaswa kutenga bajeti mahususi kwenye vyuo Na mashule, badala ya kupiga malumbano tu pale bungeni.
 
Back
Top Bottom