Janga la COVID-19: Naipongeza Serikali kwa kukataa kuiga baadhi ya mbinu za ’Nchi za Magharibi’

Umemaliza mkuu.

Kwa wengine, need we say more?
 
Ngoja ndugu yako au wewe upate ili ambayo huwezi kupumua ndiyo utajua kwanini Dunia watu wapo ndani.Machine hazipo za kutosha ventilators
 
Endelea kupongeza! Pongeza bila kuchoka!
Bora ukose mali, upate akili
 
Huu wimbo wa kusifu una beti ngap?
Umezingatia vina?
Nota zimetulia?

Ngoma nyingine unapakua lini mzee?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa hiwezi kuwaona hapa Jamiiforums wakileta mada za corona!
 
Endelea kuwapongeza
 
Ongeza volume kidogo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…