Teknocrat
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 4,967
- 11,056
Wizara ya Elimu imelitataja somo la Hisabati kama ni Janga la Taifa
Tuanzie hapa, najua kuna wakali wa hesabu humu Jamii Forum
Tuanzie hapa kutoa msaada wa bure(Tuisheni) ya Hisabati kwa wanafunzi wanaohitaji
Kwa wakali wa hisabati: Tupia topic za hesabu na mafundisho yake, pia tafadhali unapopata muda jibu maswali ya wanafunzi wakiomba kuelewesha zaidi.
Tambua kuna shule zingine wanafunzi wanafika na kukuta hakuna mwalimu wa hesabu.
Kama kuna Khan Academy | Free Online Courses, Lessons & Practice ya bure kwa dunia nzima, na sisi tuwasadie wa kwetu ambao wakati mwingine lugha ya kiingereza inaweza kuwa shida na wanatafuta ufafanuzi zaidi
Kwa Mwanafunzi: Uliza Topic, Maswali au ugumu unaokutatiza kwenye hesabu/hisabati
Topic: Shule ya Msingi, Shule ya Sekondari, Shule ya Sekondari(Advance)

Mokaze, itakatikiamo, Makanyaga, EllySkyWilly,