Janga la Hisabati: Tuanzie Hapa

Janga la Hisabati: Tuanzie Hapa

Teknocrat

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
4,967
Reaction score
11,056
Wizara ya Elimu imelitataja somo la Hisabati kama ni Janga la Taifa

Tuanzie hapa, najua kuna wakali wa hesabu humu Jamii Forum
Tuanzie hapa kutoa msaada wa bure(Tuisheni) ya Hisabati kwa wanafunzi wanaohitaji

Kwa wakali wa hisabati: Tupia topic za hesabu na mafundisho yake, pia tafadhali unapopata muda jibu maswali ya wanafunzi wakiomba kuelewesha zaidi.
Tambua kuna shule zingine wanafunzi wanafika na kukuta hakuna mwalimu wa hesabu.
Kama kuna Khan Academy | Free Online Courses, Lessons & Practice ya bure kwa dunia nzima, na sisi tuwasadie wa kwetu ambao wakati mwingine lugha ya kiingereza inaweza kuwa shida na wanatafuta ufafanuzi zaidi

Mokaze, itakatikiamo, Makanyaga, EllySkyWilly,​


Kwa Mwanafunzi: Uliza Topic, Maswali au ugumu unaokutatiza kwenye hesabu/hisabati
Topic: Shule ya Msingi, Shule ya Sekondari, Shule ya Sekondari(Advance)
 
Hesabu ni rahisi sana (kutoa,kujumlisha,kuzidisha na kugawanya). Taabu ilianza wajuaji walivyoanza kuweka maneno na maalama ya ajabu ajabu kwenye hesabu.
 
Sasa wanafunzi wenye uhitaji huo wapo huku mkuu? Km ni kujitolea labda mtu afunge safari aende shuleni huko akafundishe huko ila kusema eti kufanya solving au presentation hapa kuwasaidia wanafunzi utakuwa uongo, hata walimu wa mathematics hapa utawapata wachache mno na waliopo hawana cha kufundishwa[emoji28].
 
Hesabu ni rahisi sana (kutoa,kujumlisha,kuzidisha na kugawanya). Taabu ilianza wajuaji walivyoanza kuweka maneno na maalama ya ajabu ajabu kwenye hesabu.
Kuna tofauti kati ya hesabu na hisabati.Hisabati ni sayansi ya namba kuangalia tabia,minyumbuliko, checking variability of data n.k but hesabu is all about counting the quantity.
 
Back
Top Bottom