Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Mkuu,Wanayaita Dubu au Bonanza. Hapa unaweza ukaliwa hadi ubongo. Vijana wa Kitanzania sasa hivi mpaka huko vijijini huwaambii chochote kuhusu hii dubwasha.
Kwahyo wakati uraibu wa betting haujakolea vizuri, kuna uraibu wa Dubu/Bonanza ambapo mbaya zaidi wanachezq mpaka watoto wadogo wa shule za msingi.
Tunatengeneza Taifa la namna gani sijui, huku Betting, kule Dubu, pale Vinywaji vya energy. Huku ukisogea kidogo K-Vant.
Vipi mtaani kwako hili dubwasha lipo?
View attachment 2182861
Kujiburudusha huku unaliwa mpaka shs 25,000!Mbona halina tatizo shida ni sisi wabongo kulifanya primary source ya uchumi hilo ni kwajili ya kujiburudisha tu
[emoji3][emoji3][emoji3]Hayo madudu yamo kwenye utekelexaji wa ilan ya ccm,
labda kama wee sio mwanaccm[emoji4]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kujiburudusha huku unaliwa mpaka shs 25,000!