Janga lingine kwa vijana wa Kitanzania ni hili hapa

Janga lingine kwa vijana wa Kitanzania ni hili hapa

Wanayaita Dubu au Bonanza. Hapa unaweza ukaliwa hadi ubongo. Vijana wa Kitanzania sasa hivi mpaka huko vijijini huwaambii chochote kuhusu hii dubwasha.

Kwahyo wakati uraibu wa betting haujakolea vizuri, kuna uraibu wa Dubu/Bonanza ambapo mbaya zaidi wanachezq mpaka watoto wadogo wa shule za msingi.

Tunatengeneza Taifa la namna gani sijui, huku Betting, kule Dubu, pale Vinywaji vya energy. Huku ukisogea kidogo K-Vant.

Vipi mtaani kwako hili dubwasha lipo?

View attachment 2182861
wanayalipia kodi,iko ndiyo cha umuhimu
 
Back
Top Bottom