Jangwani kunateketea sasa ni official Bangala na Djuma Shabani wanataka kuondoka rasmi

political monger senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
1,827
Reaction score
5,994
KIVUMBI NA JASHO: DJUMA, BANGALA

Djuma Shaban, Lomalisa Mutambala na kiraka Yannick Bangala juzi kwa nyakati tofauti wamegonga mlango wa kutaka kuondoka na kwenye vikao vyao kulihusisha majibizano makali.

Djuma na Bangala ndio walianza ambapo waliwasilisha ombi la kusitisha mwaka mmoja wa mkataba baada ya kutumikia mmoja kwa mafanikio Jangwani. Mikataba yao inaisha mwakani.

Habari za uhakika ni kuwa wawili hao awali walipewa nusu ya ada ya usajili na katika miezi ya karibuni wamekuwa wakifosi kumaliziwa bila mafanikio, hivyo Katika hoja zao ni kwamba kile kiasi walichopewa awali ni cha muda waliofanya kazi kwa hiyo wanachodai kitumike kusitisha mkataba sehemu iliyobaki jambo ambalo limeibua mjadala mzito ndani ya uongozi na hata kikao cha jana hakikufikia muafaka.

Mabosi wa Yanga wamepata uhakika kwamba wakishafanya uamuzi huo tu ndani ya siku mbili watani wao Simba na wapinzani wao Azam watashtua kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii kwamba “mgeni tumempata”.

Simba na Azam zinashindana kimyakimya kusaka saini ya Bangala ambaye msimu mmoja uliopita alikuwa mchezaji bora wa ligi kwenda kuimarisha eneo la kiungo wa chini.

1687013901591.jpg
 
Kama ni kweli basi ni aibu

Club iliyokusanya zaidi ya 200M kwenye goli la mama leo hii inapatwa na skendo za madeni?

Halafu mwanzo tulivyoona vilio kwa Princess tukadhani labda sababu itakuwa focus yao ipo kwenye timu ya wanaume, na kwamba upande huu hauna hayo malalamiko kwasababu ndiko nguvu zote zilipowekezwa.

Hela zote hizo wanazitumia kufanya nini kama mishahara tu ya wachezaji wanashindwa kulipa kwa wakati?

Sasa zile ahadi zao za kutuambia watajenga uwanja tuendelee kuziamini kuwa ni kweli, kama tu pesa ndogo ya kulipa wachezaji inatolewa kwa kusuasua vipi kwenye jambo kubwa kama uwanja?
 
KIVUMBI NA JASHO: DJUMA, BANGALA
.
Djuma Shaban, Lomalisa Mutambala na kiraka Yannick Bangala juzi kwa nyakati tofauti wamegonga mlango wa kutaka kuondoka na kwenye vikao vyao kulihusisha majibizano makali.
.
Djuma na Bangala ndio walianza ambapo waliwasilisha ombi la kusitisha mwaka mmoja wa mkataba baada ya kutumikia mmoja kwa mafanikio Jangwani. Mikataba yao inaisha mwakani.
.
Habari za uhakika ni kuwa wawili hao awali walipewa nusu ya ada ya usajili na katika miezi ya karibuni wamekuwa wakifosi kumaliziwa bila mafanikio, hivyo Katika hoja zao ni kwamba kile kiasi walichopewa awali ni cha muda waliofanya kazi kwa hiyo wanachodai kitumike kusitisha mkataba sehemu iliyobaki jambo ambalo limeibua mjadala mzito ndani ya uongozi na hata kikao cha jana hakikufikia muafaka.
.
Mabosi wa Yanga wamepata uhakika kwamba wakishafanya uamuzi huo tu ndani ya siku mbili watani wao Simba na wapinzani wao Azam watashtua kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii kwamba “mgeni tumempata”. Simba na Azam zinashindana kimyakimya kusaka saini ya Bangala ambaye msimu mmoja uliopita alikuwa mchezaji bora wa ligi kwenda kuimarisha eneo la kiungo wa chini.View attachment 2660502
Wakati wa usajili ndio mavuno kwa wachezaji na mawakala .....mwisho siku tusubiri muda ni mwalim mzuri sana
 
Kama ni kweli basi ni aibu

Club iliyokusanya zaidi ya 200M kwenye goli la mama leo hii inapatwa na skendo za madeni?

Halafu mwanzo tulivyoona vilio kwa Princess tukadhani labda sababu itakuwa focus yao ipo kwenye timu ya wanaume, na kwamba upande huu hauna hayo malalamiko kwasababu ndiko nguvu zote zilipowekezwa.

Hela zote hizo wanazitumia kufanya nini kama mishahara tu ya wachezaji wanashindwa kulipa kwa wakati?

Sasa zile ahadi zao za kutuambia watajenga uwanja tuendelee kuziamini kuwa ni kweli, kama tu pesa ndogo ya kulipa wachezaji inatolewa kwa kusuasua vipi kwenye jambo kubwa kama uwanja?
Kwa hio na wewe ume amini?
 
Hivi kumbe kuna wachezaji bado wanawadai utopolo pesa za usajili?

Mbwembwe zote zile GSM pesa ipo kumbe huwa ni uongo mtupu?!

Aisee, utopolo inawezekana mmejaaliwa makelele yaliyojaa uongo mnaweza kuidanganya dunia nzima ikawaamini!.
 
KIVUMBI NA JASHO: DJUMA, BANGALA
.
Djuma Shaban, Lomalisa Mutambala na kiraka Yannick Bangala juzi kwa nyakati tofauti wamegonga mlango wa kutaka kuondoka na kwenye vikao vyao kulihusisha majibizano makali.
.
Djuma na Bangala ndio walianza ambapo waliwasilisha ombi la kusitisha mwaka mmoja wa mkataba baada ya kutumikia mmoja kwa mafanikio Jangwani. Mikataba yao inaisha mwakani.
.
Habari za uhakika ni kuwa wawili hao awali walipewa nusu ya ada ya usajili na katika miezi ya karibuni wamekuwa wakifosi kumaliziwa bila mafanikio, hivyo Katika hoja zao ni kwamba kile kiasi walichopewa awali ni cha muda waliofanya kazi kwa hiyo wanachodai kitumike kusitisha mkataba sehemu iliyobaki jambo ambalo limeibua mjadala mzito ndani ya uongozi na hata kikao cha jana hakikufikia muafaka.
.
Mabosi wa Yanga wamepata uhakika kwamba wakishafanya uamuzi huo tu ndani ya siku mbili watani wao Simba na wapinzani wao Azam watashtua kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii kwamba “mgeni tumempata”. Simba na Azam zinashindana kimyakimya kusaka saini ya Bangala ambaye msimu mmoja uliopita alikuwa mchezaji bora wa ligi kwenda kuimarisha eneo la kiungo wa chini.View attachment 2660502
MZIMU WA FEI TOTO UANUANDAMA YANGA, DOGO KAWATONYA MAJAMAA
 
Hivi kumbe kuna wachezaji bado wanawadai utopolo pesa za usajili?

Mbwembwe zote zile GSM pesa ipo kumbe huwa ni uongo mtupu?!

Aisee, utopolo inawezekana mmejaaliwa makelele yaliyojaa uongo mnaweza kuidanganya dunia nzima ikawaamini!.
Yanga Princess walikuwa na mpango wa kuandamana

Sijajua wamefikia wapi au pengine washalipwa
 
KIVUMBI NA JASHO: DJUMA, BANGALA
.
Djuma Shaban, Lomalisa Mutambala na kiraka Yannick Bangala juzi kwa nyakati tofauti wamegonga mlango wa kutaka kuondoka na kwenye vikao vyao kulihusisha majibizano makali.
.
Djuma na Bangala ndio walianza ambapo waliwasilisha ombi la kusitisha mwaka mmoja wa mkataba baada ya kutumikia mmoja kwa mafanikio Jangwani. Mikataba yao inaisha mwakani.
.
Habari za uhakika ni kuwa wawili hao awali walipewa nusu ya ada ya usajili na katika miezi ya karibuni wamekuwa wakifosi kumaliziwa bila mafanikio, hivyo Katika hoja zao ni kwamba kile kiasi walichopewa awali ni cha muda waliofanya kazi kwa hiyo wanachodai kitumike kusitisha mkataba sehemu iliyobaki jambo ambalo limeibua mjadala mzito ndani ya uongozi na hata kikao cha jana hakikufikia muafaka.
.
Mabosi wa Yanga wamepata uhakika kwamba wakishafanya uamuzi huo tu ndani ya siku mbili watani wao Simba na wapinzani wao Azam watashtua kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii kwamba “mgeni tumempata”. Simba na Azam zinashindana kimyakimya kusaka saini ya Bangala ambaye msimu mmoja uliopita alikuwa mchezaji bora wa ligi kwenda kuimarisha eneo la kiungo wa chini.View attachment 2660502
Wapiga ramli kwenye ubora wenu!
 
huku Mo.... kule Yusuf SSB... UTOPOLO yanagonga... yanarudi...
 
Hivi kumbe kuna wachezaji bado wanawadai utopolo pesa za usajili?

Mbwembwe zote zile GSM pesa ipo kumbe huwa ni uongo mtupu?!

Aisee, utopolo inawezekana mmejaaliwa makelele yaliyojaa uongo mnaweza kuidanganya dunia nzima ikawaamini!.
GSM dhulmat sana
 
Back
Top Bottom