Jangwani kunateketea sasa ni official Bangala na Djuma Shabani wanataka kuondoka rasmi

Jangwani kunateketea sasa ni official Bangala na Djuma Shabani wanataka kuondoka rasmi

Manara alisema akiwa Simba hivyo haina nguvu maana mpinzani anaweza kuongea chochote hata madai ya uwongo dhidi ya upande mwingine .

Kauli ya Rage inapaswa kuwekewa Lamination kabisa ...
Wala mihogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Kama ni kweli basi ni aibu

Club iliyokusanya zaidi ya 200M kwenye goli la mama leo hii inapatwa na skendo za madeni?

Halafu mwanzo tulivyoona vilio kwa Princess tukadhani labda sababu itakuwa focus yao ipo kwenye timu ya wanaume, na kwamba upande huu hauna hayo malalamiko kwasababu ndiko nguvu zote zilipowekezwa.

Hela zote hizo wanazitumia kufanya nini kama mishahara tu ya wachezaji wanashindwa kulipa kwa wakati?

Sasa zile ahadi zao za kutuambia watajenga uwanja tuendelee kuziamini kuwa ni kweli, kama tu pesa ndogo ya kulipa wachezaji inatolewa kwa kusuasua vipi kwenye jambo kubwa kama uwanja?
Club inaendeshwa ki ujanja ujanja tu. Ukiacha goli la mama kuna hela za CAF, hela za Wadhamini SportPesa, hela za AzamTV. Kwa nje ukiiona utadhani Club ya maaaanaaa....!!!!
 
Club inaendeshwa ki ujanja ujanja tu. Ukiacha goli la mama kuna hela za CAF, hela za Wadhamini SportPesa, hela za AzamTV. Kwa nje ukiiona utadhani Club ya maaaanaaa....!!!!
Unaumia nini? wewe si uende kwa Mangungu huko mkaendeshwe kizungu na Manzoki mjumbe wa NEC

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom