eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Baada ya Serikali kudai wanahisa wanatakiwa wawe zaidi ya 3 ktk hio 49%, Kitacho tokea ni kwa kuzigawanya hizo familia yake na kampuni yake kisha ye kujitoa na kukaa kando akisikilizia.
Ikifika muda wa uchaguzi anachukua form na kugombania uraisi wa timu ya Simba.
Kwa vyovyote hapo wanachama watamchagua na atapita.
Sasa jiulize,aslimia 49% iko kwenye familia yake,na hapo hapo yeye ndo Rais wa timu,kuna nini kama sio kumiliki timu.
CHEZEA MUHINDI WEE!