Janja ya Mo Dewj iko hapa

Janja ya Mo Dewj iko hapa

eddy brown

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
414
Reaction score
314
Baada ya Serikali kudai wanahisa wanatakiwa wawe zaidi ya 3 ktk hio 49%, Kitacho tokea ni kwa kuzigawanya hizo familia yake na kampuni yake kisha ye kujitoa na kukaa kando akisikilizia.

Ikifika muda wa uchaguzi anachukua form na kugombania uraisi wa timu ya Simba.

Kwa vyovyote hapo wanachama watamchagua na atapita.

Sasa jiulize,aslimia 49% iko kwenye familia yake,na hapo hapo yeye ndo Rais wa timu,kuna nini kama sio kumiliki timu.

CHEZEA MUHINDI WEE!
 
Sasa mi nawashangaa sana wabongo, kilabu si kilikuwa chini ya uongozi wa wanachama na serikali. Hakukuwa na maendeleo yeyote zaidi ya siasa ila ametokea mtu mwenye interest aendeshe kilabu hicho na fedha anazo hayo malumbano ni ya nini?

Kwahio mnataka jamaa aweke hela zake ila maamuzi ya uendeshaji mfanye wengine 😂😂😂?! Mi ninaipenda Simba ila upumbavu unaofanyika wa kuvutana mashati ndio siupendi.

Kama muhindi ameonesha uwezo na kuipa tumaini jipya Simba mwacheni aongoze timu na mnajua kabisa akijitoa timu itakuwa hoi sana maana hao wanachama wengi njaa tu maneno mengii. Huu ndio upumbavu unaolikwamisha taifa letu katika mambo mengi tu...wenye uwezo kunyimwa nafasi makusudi.
 
Mbona wasomaji ni wengi kwenye hili lakini hakuna comments zozote?au mikia kisu kimegusa kwenye kidonda?Muhindi atabaki kuwa Muhindi mbele ya Juma.Wenuna 49% halafu unafanya kila kitu zaidi ya alokuzidi?
Watu wanataka hati ya mashamba ya mkonge..hIzi ni sinema tu
 
Baada ya serikali kudai wanahisa wanatakiwa wawe zaidi ya 3 ktk hio 49%, Kitacho tokea ni kwa kuzigawanya hizo familia yake na kampuni yake kisha ye kujitoa na kukaa kando akisikilizia. Ikifika muda wa uchaguzi anachukua form na kugombania uraisi wa timu ya Simba.Kwa vyovyote hapo wanachama watamchagua na atapita.Sasa jiulize,aslimia 49% iko kwenye familia yake,na hapo hapo yeye ndo raisi wa timu,kuna nini kama sio kumiliki timu.CHEZEA MUHINDI WEE!!!.
Acheni kauli za bibaguzi huyu ni mtanzania mwenzetu aliyezaliwa kata ya ipembe singida, mtaa wa kambi ya fisi opposity na soko kuu, hata india hajawahi kufika.
 
Hisa za Simba hazigawanywi kwa familia

Zinatangazwa wanakuja watu kuomba sio swala la kutoa mfuko wa kushoto na kuweka kulia
 
Mkuu ndio maanaaa hii nchi inatambaa tangu kuumbwa kwake .

Kuna wenzetu vichwani kwao ni ugoroo tuuu
Sasa mi nawashangaa sana wabongo, kilabu si kilikuwa chini ya uongozi wa wanachama na serikali. Hakukuwa na maendeleo yeyote zaidi ya siasa ila ametokea mtu mwenye interest aendeshe kilabu hicho na fedha anazo hayo malumbano ni ya nini?

Kwahio mnataka jamaa aweke hela zake ila maamuzi ya uendeshaji mfanye wengine [emoji23][emoji23][emoji23]?! Mi ninaipenda Simba ila upumbavu unaofanyika wa kuvutana mashati ndio siupendi.

Kama muhindi ameonesha uwezo na kuipa tumaini jipya Simba mwacheni aongoze timu na mnajua kabisa akijitoa timu itakuwa hoi sana maana hao wanachama wengi njaa tu maneno mengii. Huu ndio upumbavu unaolikwamisha taifa letu katika mambo mengi tu...wenye uwezo kunyimwa nafasi makusudi.
 
Ujinga tuu, hiyo serikali kwa miaka yote wamefanya kipi kuziendeleza hizi simba na yanga. ? .

Taifa stars imewashinda ila bado wanakodolea macho simba na yanga.
 
Acheni kauli za bibaguzi huyu ni mtanzania mwenzetu aliyezaliwa kata ya ipembe singida, mtaa wa kambi ya fisi opposity na soko kuu, hata india hajawahi kufika.
mkuu WaTanzania ndivyo tulivyo.....shida zetu huwa tunatafuta sehemu pa kuzitulia, we are low minded people
 
Vipi? Kambi yenu kule morogoro inaendeleaje? Naona unarusha mawe kwa jirani huku kwako taulo limekudondoka!

umaskini mbaya sana. Yaani maskini akimwona maskini mwenzake ameanza kupiga hatua zakutoka kwenye umaskini. Yeye umfanyia figisu na kumvuta chini ili wabaki kwenye umaskini. Haya ni mahajabu ya dunia yanayopatikana tanzania pekee.
 
Sasa mi nawashangaa sana wabongo, kilabu si kilikuwa chini ya uongozi wa wanachama na serikali. Hakukuwa na maendeleo yeyote zaidi ya siasa ila ametokea mtu mwenye interest aendeshe kilabu hicho na fedha anazo hayo malumbano ni ya nini?

Kwahio mnataka jamaa aweke hela zake ila maamuzi ya uendeshaji mfanye wengine 😂😂😂?! Mi ninaipenda Simba ila upumbavu unaofanyika wa kuvutana mashati ndio siupendi.

Kama muhindi ameonesha uwezo na kuipa tumaini jipya Simba mwacheni aongoze timu na mnajua kabisa akijitoa timu itakuwa hoi sana maana hao wanachama wengi njaa tu maneno mengii. Huu ndio upumbavu unaolikwamisha taifa letu katika mambo mengi tu...wenye uwezo kunyimwa nafasi makusudi.

Hii sindano ya ujamaasijui itatutoka lini. Watu wa hovyo kabisa.Wamemwachampka kaingiza pesa zake huko kusajili nakuendesha club walikuwa wapitoka mwanzo? wao weke taratibu nakanuni za uendeshaji kam ni kapuni iwe kampuni na kanuni ziwekwe. Simba imeinuka serikali kwa majukumu yake mengi haiwezi na wala haitaweza kuwekeza kwenye mpira ikiwa wanshindwa tu kwekeza kwenye huduma za msingi kama afya na elimu. Timu za taifa zenyewe zinawashinda sembuse mpira ambao uwekezaji wakeni mkubwa na wa muda mrefu.Kazi tu kuvuruga kila kitu.Wamemaliza mbaazi, korosho,sasa pamba sasa mpira
 
Ujinga tuu, hiyo serikali kwa miaka yote wamefanya kipi kuziendeleza hizi simba na yanga. ? .

Taifa stars imewashinda ila bado wanakodolea macho simba na yanga.
Hata haya mshindano stars inashiriki naona kazi bure tu, timu hata kuweka kambi ni shida mtu anahangika na club
 
Back
Top Bottom