Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kama ardhi ipo mnashindwa kuitumia mama afanyaje?Hili la Wakenya kukaribishwa kupewa ardhi, Rais SSH alirejee upya, lina ukakasi. Kuna kundi kubwa la vijana wenye elimu ya fani mbalimbali, Serikali yake iweke mazingira rafiki na wezeshi wasio na ajira waendeleze ardhi kwa kilimo kama ilivyo sasa kwa machinga na wachimba madini wadogo wadogo