Januari 27 ni kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa ya Rais Samia

Januari 27 ni kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa ya Rais Samia

kalacha mateo

Senior Member
Joined
Sep 27, 2021
Posts
119
Reaction score
240
Januari 27 ni kumbukumbu ya siku ya Kuzaliwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Katika kusherehekea kumbukizi ya siku ya kuzaliwa watu utakiana Kheri na kutumiana salamu za kutakiana mema. Ikiwa kesho ni siku, una nini cha kumwambia kuonyesha upendo.

52636279347_6dccca1a56_b.jpg
 
Modes naomba nirekebishie kichwa cha habari kisomeke Januari 27, Kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwa Rais Samia
 
Asee nabahati sana,ni siku yangu pia ya kuzaliwa,RIP MAMA ,endelea kupumzika kwa amani ulinilea vizuri sana mpaka leo nafasi ipo.
 
Back
Top Bottom