Mtumishiwetu
Senior Member
- Jul 13, 2022
- 196
- 346
Anajaribu kufufuka lakini tayari alishachafuka na kipara chakeAkumbuke kuwatumia muamala wa kujaza gesi kila mwezi.
Anaforce kingi; ila game imeshamkataa.Anajaribu kufufuka lakini tayari alishachafuka na kipara chake
Kwenye kuchemsha mbege hamtumii gesi?Anajaribu kufufuka lakini tayari alishachafuka na kipara chake
Jinga weweKwenye kuchemsha mbege hamtumii gesi?
Ni mshenzi sn yuleAnaforce kingi; ila game imeshamkataa.
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kama kuna mtu anataka kutapika kwa sababu kina mama wa vijijini wamepata mitungi ya gesi basi aende pembeni kutapika lakini hataacha wala kusimamisha zoezi la kugawa mitungi kwa sababu ni msaada mkubwa kwa akina mama.
"Sasa kama kuna mtu anataka kutapika kwa sababu kina mama wa vijijini wamepata mitungi ya gesi, basi aende pembeni kutapika, lakini maisha yataendelea.Hatutaacha wala kusimama kuigawa kwa sababu ni msaada mkubwa kwa kina mama," amesema January.
CHANZO: Facebook/ Mwananchi Julai 25, 2022
Wamekuwa wajinga snKweli hii Serekali iko chini ya mwananmke, maana hata wanaume wanaongea lugha za kike.
Huyu kijana mpuuzi, yale yale ya wale Nyasi, yale yale ya wapige mbizi. HopelessWaziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kama kuna mtu anataka kutapika kwa sababu kina mama wa vijijini wamepata mitungi ya gesi basi aende pembeni kutapika lakini hataacha wala kusimamisha zoezi la kugawa mitungi kwa sababu ni msaada mkubwa kwa akina mama.
"Sasa kama kuna mtu anataka kutapika kwa sababu kina mama wa vijijini wamepata mitungi ya gesi, basi aende pembeni kutapika, lakini maisha yataendelea.Hatutaacha wala kusimama kuigawa kwa sababu ni msaada mkubwa kwa kina mama," amesema January.
CHANZO: Facebook/ Mwananchi Julai 25, 2022
2030 ni Makamba vs LisuWamekuwa wajinga sn
Kipara hana jipya this timeMakamba;-
Njoo na mkakati wa kushusha Bei ya nishati!!
Usifanye siasa rahisi ya kugawa t shirt na kofia kama unavofanya!!
Tatua tatizo la muda mrefu achana na zimamoto!!
Nishati ya gesi ni nafuu kiasi GANI ukilinganisha na bei ya nishati nyinginezo!!?una wapa majiko je kuna unafuu wa kuijaza Hiyo gesi!!?
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA!!
NakaziaHuyu jamaa kujikuta too much know but in reality ni mweupe Sana ni miongoni mwa myopic leader Kama simba mkuu wa kampuni
Kumbafu yake. Umempatia huo mtungi gasi ikiisha Hana jinsi ya kununulua gasi! Kwa Nini usihangaike na wananchi kupata umemenwa uhakiki na kazi ziwepo huru waweze kuinunua wenyewe.??!Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kama kuna mtu anataka kutapika kwa sababu kina mama wa vijijini wamepata mitungi ya gesi basi aende pembeni kutapika lakini hataacha wala kusimamisha zoezi la kugawa mitungi kwa sababu ni msaada mkubwa kwa akina mama.