The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Sindano kwenye mfupa,shikilia hapo hapo January wameanza kuelewa huku..Ashike adabu yake. Maneno gani ya waziri kuwaambia watu hata kama wanakupinga. Hao kina makamba ni wahuni tu.
Wamezoea kuhonga hawawezi acha. Sasa hebu aseme ataweza kugawa mitungi kwa wanawake wote nchini,? Na ni project ya serikali au anatumia hela zake.
Ndio maana hata mimi humu jukwaani nikikuta mtu mpumbavu namjibu shit tuu.