Januari Makamba: Kama kuna mtu anataka kutapika kwa sababu kina mama wa vijijini wamepata mitungi ya gesi, basi aende pembeni kutapika

Hii mitungi amepewa na nani au wizara ndio inagawa na kwa bajeti ipi.
 
Kampeni za 2025 kwa gia ya gesi
 
Waziri toa hoja na siokutoakejeli
 
Bakieni na mavi yenu nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi ngumu mno, Mh Makamba sahii yuko ziara it's ok, Taswira halisi ndani ya fikra yake katika vijiji anavyotembelea huko inamuonyesha namna wananchi wako Dunia ya 3 ndio wakina Mama wengi huko vijijini kwetu bado hawajui maana halisi ya hii mitungi na huo ndio ukweli hivyo kwa kugawiwa hii mitungi na kupewa Maneno mataam hapana Mfano huku ikibeba uwongo mwingi na Ahadi zisizotimilizwa hapo baadae?! Basi wanaona kama huyu Ndio kiongozi sahihi kwa wananchi. Ila ipo siku Mungu wetu atatuamsha akili.
 
Huyo Si waziri ni dalali wa gas ya wenyewe.

Muulize hivi;
1. Tumewahi pikia majiko ya umeme miaka ya nyuma, kwann gharama ya maunganishi umeme ipande Toka 27000 Hadi 300,000/=?

2. Hizo nguzo zilizolala Barabarani unaziangalia tu ni lini zitasimama?

Mkumbushe pia 2023 ni mbali kuliko 2025!!!!!!!! Sijui kama ataelewa lkn.
 
Piga kazi January!
 
Hiyo mitungi gesi ikiisha tu iliyomo haitatumika tena.
 
Ashike adabu yake. Maneno gani ya waziri kuwaambia watu hata kama wanakupinga. Hao kina makamba ni wahuni tu.
Wamezoea kuhonga hawawezi acha. Sasa hebu aseme ataweza kugawa mitungi kwa wanawake wote nchini,? Na ni project ya serikali au anatumia hela zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…