Januari Makamba: Kama kuna mtu anataka kutapika kwa sababu kina mama wa vijijini wamepata mitungi ya gesi, basi aende pembeni kutapika

Kwa hiyo kina mama wa vijijini kumiliki mtungi mdogo wa gesi tayari wametatua tatizo la nishati mwaka mzima na hawatatumia tena kuni na mkaa, kumbe akili ni nywele aisee.........sasa huyu mwenzetu hana nywele kabisa.
 
Inatakiwa gesi na mitungi ishuke bei vijijini kwa mkakati maalumu ili vijijini wamudu kununua mitungi na kujaza kilaipasapo sio huo ujinga anaofanya huyu
Ukiisha uko vijijini watawe:za kujaza au watatelekeza mitungi na kurudia kuni???
Viongozi wetu wengi wana little brains labda tukodi mawaziri toka mbele(nchi zilizoendelea)
 
Huyu jamaa mwanzo nilikuwa namtetea ila naanza kuona kumbe kilaza sana, hiyo gesi kujaza huku kwetu mjini ni elfu 25,000 pia kuna suala la umbali nao ni tatizo Sasa huko vijijini watamudu vipi mambo haya? Au lengo lake ni lipi la kugawa hiyo mitungi?
 
Kugawa mitungi ya gesi bila kutoa elimu ya matumizi tena kijijini ni sawa na kuwapa maguruneti.
 
Huyu mwizi wa "paper" pale Galanos naona sasa yeye ndo anatapika. Pumbafu sana, juzi juzi kasema watanzania wapuuzi.
 
Safi sana Makamba wanyoonye hivyo hivyo..

Maana wewe Makamba,Nape na Mwigulu ndio umekuwa mnaandamwa Sana..

Muwenawajibu shit hivyo hivyo Ndio wataelewa kenge hao.
 
Ndio kakuambia anataka Urais? Kuwa presidential mtarajiwa kuna shida gani? Wajumbe si wapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…