Januari Makamba: Kama kuna mtu anataka kutapika kwa sababu kina mama wa vijijini wamepata mitungi ya gesi, basi aende pembeni kutapika

Sindano kwenye mfupa,shikilia hapo hapo January wameanza kuelewa huku..

Ndio maana hata mimi humu jukwaani nikikuta mtu mpumbavu namjibu shit tuu.
 
Wanacheza na hisia za watu kwa kapicha, ila workdone is equal to 0
 
Thubutu unajua hiyo pesa kwa kijijini ina thamani gani, wakati jalalani anapata vifuu na kuni za kuivisha maharage.
Nasema hivi utamtumia hata wewe wa mjini..

Pili saizi Mazao yana Bei watauza madebe 3 tuu ya mahindi tayari
 
Akipata akaanza hizo swaga akiwa chamwino ama magogoni huoni atazua taharuki ya bure? Bora wajumbe tumejua mapema
Kama hafai wajumbe sio watu si mpo?

Hawezi kufanya hivyo Kwa sababu atakuwa kwenye nafasi ya kuwawajibisha na kuwabebesha mzigo wasaidizi Sana sana ataongea vijembe kwa mafumbi kama JK na SSH..

Mbona Mwendazake alikuwa anatukana live?
 
Hakika, Katiba mpya ndio mpango mzima
 
Duh nani sasa tena atapike
 
Makamba the great ana upiga mwingi sn.

Go go go makamba jr. Adui zako wanachefukwa
 
Ile yule aliye mkae na mavi yenu ndio alikuwa president material [emoji38]

Dunia Ina mambo
 
Huyu kuna sehemu hayuko sawa. Anahitaji mshauri nasaha.

Dalili ngumu sana hii kwa mwanasiasa mzoefu wa miaka mingi.
Uanasiasa mzoefu ameupata lini!!??!
Siasa hawezi.
Uongozi hawezi.
Kuigiza hawezi.
 
Makamba amefanya ubunifu wa hali ya juu. Baada ya kuzungumza na waandishi akiwa Dar au Dodoma kuhusu shida na changamoto za Wananchi ameamua kuwatembelea walipo na kujua ni vitu gani vinawakwaza na kutoa suluhu. Anapaswa kuwa mfano na viongozi wengine waige mfano huu. He is creative and others should learn from him.
 
Mr February, tunachotaka ni bwawa la mwalimu Nyerere kujazwa maji tupate umeme wa uhakika! Acha janjajanja za kutuhamisha kwenda kwenye gas ambayo sio rafiki kwa ufisadi ulishafaqnyika ktk hiyo gas!
 
Nampongeza Waziri Makamba kwa jitihada hizi. Kila jambo lazima liwe na pa kuanzia. Hii ni hatua kubwa na muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…