Januari yamoto sana, kuna mgeni amekuja kwangu nilitaka nimuagizie soda amegoma amesema nimpe tu hiyo 600. Nimebaki na mshangao sasa

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
6,967
Reaction score
17,452
Na nyie wenzangu mmeshawahi kukutana na jambo kama hili, yaani mgeni anazua mia sita kweli jamaani yaani ameona soda ni anasa kabisa kitu cha mia sita.

Nimeshangaa sana.

Halafu mwenye hana presha wala wasiwasi with confidence kabisa.

Iseee huu mwaka 2025 umeanza kiajabu kabisa.
 
Na nyie wenzangu mmeshawahi kukutana na jambo kama hili yaani mgeni anazua mia sita kweli jamaani yaani ameona soda ni anasa kabisa kitu cha mia sita..
Nimeshangaa sana.
Alfu mwenye hana presha wala wasiwasi with confidence kabisa.

Ni sawa Mkuu,yeye kaona kunamtosha!
 
🤣🤣🤣 duh iyo kali sana mgeni aoni hata aibu ama kweli mwaka umeanza vbaya sana
 
Soda ya nini weweee... nipe hiyo mia sita nikanunulie watoto dagaa.

Huu ni uchumi wa kati lazima tukae mguu sawa.

Mimi hata usinipe ugali, hiyo hela ya unga nipe nikabetie.

Cc: Mbaga Jr
 
Na nyie wenzangu mmeshawahi kukutana na jambo kama hili yaani mgeni anazua mia sita kweli jamaani yaani ameona soda ni anasa kabisa kitu cha mia sita..
Nimeshangaa sana.
Alfu mwenye hana presha wala wasiwasi with confidence kabisa.
Iseee huu mwaka 2025 umeanza kiajabu kabisa.
Ungempa zaidi ya 600
 
Hukupaswa kumshangaa, ulipaswa ujiongeze kwa kumpatia kiasi zaidi.

Watu wanapitia magum mengi, ni vile tu wengine hua wagum kujieleza.
 
Huyo alitaka hela ya fegi tu akaona akikupiga mzinga sio poa , ila all and all ulimpa hio mia6???
 
Back
Top Bottom