Januari yamoto sana, kuna mgeni amekuja kwangu nilitaka nimuagizie soda amegoma amesema nimpe tu hiyo 600. Nimebaki na mshangao sasa

Watanzania wasengenyaji sana.
Mbona kuishiwa ni kawaida sana tu?
 
Hiyo ndi maana ya njaanuari
 
Chai
 
Unaweza kosa hata mia mbili ya kuvukia ferry hapo..... Japo hii ilikuwa memes akini watu wanapitia hard time
 
Ni kweli, hali siyo hali tulikuwa mgaha fulanu wa wapemba tunakula samaki, dereva mmoja wa lory akabakiza dagaa wa kukaangwa, kijana mmoja mkusanya taka akawaomba wale dagaa ale
 
Soda bila kula ni kujaza gesi tumboni, wew weka 600 mezani, tukaendeleze mitikasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…