Mi nadhani tufike mahali watu tuwahukumu kwa matendo yao. January Makamba ahukumiwe kama yeye. Yes, NI MTOTO wa Makamba..lakini kijana kaenda shule sasa kwa nini asipewe kazi kama anaweza kuifanya? Otherwise elimu yake itakuwa haina maana... Do you really think kwamba angekuwa kilaza JK angemuweka pale? Hapana. Naamini ni uwezo wake..sasa kama anapelea katika sehemu fulani..nadhani hilo si swala la Makamba ni la mwajiri wake ambaye ni JK, ndo wa kujua kwamba his employee is not upto the task. Personally, I applaud Janaury,hata kama amebebwa..lakini anabebeka. And he has got something to prove. Akitaka uongozi atakuja atoe sera mbele ya Tanzania..maana sisi ndo wapiga kura. Its upto us.
And lets face it, hata kama ni wewe you are likely to hire a person you know especially his kazi za kuwa personal assistant. Sasa kama kijana ana vigezo (kadri JK anavyoona inafaa) kwa nini sisi tumshambulie? Mimi Masanja I know no body..lakini its MY DUTY to create my own network. Its a lame excuse kila siku kulia lia eti sifanikiwi kwa sababu mimi ni mtoto wa Mkulima. Yes, my father is a peasant, so what??? Should I also be condemned to poverty? No way..hilo nalipinga. Na mimi hao wahusika nitawafahamu on my own! Just like Makamba or Malecela did..maana na wao walisota......Unafikiri Makamba yeye alifanikiwaje?..Fair game hapa duniani haipo..ni vyema kujifunza namna ya kukabiliana na hali halisi.
The same like Malecelas...its unfair kusema kwamba wamejazana NY au kwingineko..ukiangalia wengi wa watoto wake..shule zimetulia..sana sana..watu tuhoji competence yao na hiii fairness ya kuwaweka pale walipo. Personally yule mtoto wake aliyeko ubalozini NY..I know her..amekaa sana pale kijiweni BAMAGA kwenye ile NGO ya akina Clement Mashamba ya Legal Aid for two years..and by then Iam sure no body knew her..eye brows zimekuwa raised baada ya yeye kwenda NY..wapi na wapi bwana..mdada wa watu ana vyeti...kama uliomba kazi ukaenguliwa..weka evidence zako hapa..tuzijadili..ila hizi habari za vijiweni eti watu wanapendeleana wakati hata applications hukutuma...haitusaidii....Tufike mahala tukubali..vitu vingine vipo tuu..the same yule kijana aliye pale NY ubalozini kama economic attache..I know the dude..tumekula wote hard time mtaani tukiwa chuo..sasa leo jamaa kahangaika kikaeleweka..people will start questioning. Nadhani ni vyema tukauliza maswali legit kama haya..kwa ku-trace history na maisha ya mtu..kuna wengine wazee wao wamekuwa vingunge..lakini they are suffering like the rest..
So let the guy Makamba do his things. Nepotism nadhani inakuja pale mtu unapoonekana umebebwa bila vyeti na kupendelewa... But when you can do the job...there is no problem...wewe fanya kazi yako kwa uadilifu na bidii..kuna siku wahusika wataona juhudi zako. You never know! Tusilalamike.