Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kwani dokta Dau anafaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MwanaF!....Google him utapata his biography Mwanawane!....
YE!...Hahahaha nimezipata hizi jikoni you know.....you knw me i have inside friends/intelejensia.
![]()
bado hakuna aliyekuja na hoja mahususi kwa nini JANUARY HAFAI naona mna zunguuka zunguka tuu hapa
Ni kweli kabisa huyu kaka ni new generation leader.huwa wanatoa point za maana yy na mwenzake Mashaka. Watu mnaomponda huyu kaka mna wivu kwa kuwa nyie hicho kipaji hamnacho, watanzania hebu tuamke sasa mambo ya wivu yamepitwa na wakati.Tujifunze kumpa mtu hongera kwa mafanikio aliyo nayo kuliko kumkandia.
Hivi dini gani huyu makamba?
Sina data zake .. watalaamu hebu tupeni CV yake
na shule alizo soma......inaonekana afadhali kuliko akina kinjekitile na wengine wa namna hiyo
www.gmu.edu
sasa kama watu mnawakana watu potential na wako juu kama january,Shayo,Ridhiwani,john mashaka so nani do you think anafaa?...maana hawa watu wote vichwa ila kutwa watu kukosoa vitu ambavyo havipo.....tutafika kweli?...kazi kweli kweli...
then mnakazana wame plagiarize...si mtoe evidence basi kwa nini tuandikie wino wakati kalamu ipo?..its all about evidence..unless otherwise innocent until proven guilt
Wacheni kampeni zenu, Hakuna cha Makamba wala Makatani hapa Rais Jk ataendela mpaka pale atakapo maliza kipindi chake cha pili , kwa hiyo hakuna haja ya kuleta ngonjera ,subirini mpka 2015.
Halafu iweje ukijua!....
wtf!......well! Well! Well!.......................south africa walikuwa wanaimba."freedom is coming tomorrow!...hahahahaha na hiii ni chorus ya watanzania "change is coming to tanzania"......i love this song hahahahah!
Good morning!....wasalaam aleykhum bandugu!......
Xoxo
wtf!......
go hang...ur truly the village idiot......I don;t blame you...i blame the person who raised you!....so saad indeed.
go hang...ur truly the village idiot......