January Makamba: A New Generation Leader!

MwanaF!....Google him utapata his biography Mwanawane!....

YE!...Hahahaha nimezipata hizi jikoni you know.....you knw me i have inside friends/intelejensia.

Dah dada wewe muweka threa unge tupa details zote tum jadili hapa hapa sasa inabidi tuka google tena? Since wewe unaona kijana anafaa unge google na hizo information ukaziweka kwenye thread. Sawa dada nikipata muda nitam google.
 
kwahio ni mmoja wa washauri wa raisi wetu.sasa basi labda alipata mda mwingi kuongea na obama kumalizia zile karatasi jk alizobeba kwenye meeting na obama.manake karatasi zilikua nyingi zile sijui kama jk alimaliza kumsomea obama.anyway tutamsubiri atakapo toka kwenye public ndio tutaweza kumjudge zaidi.
 
www.gmu.edu

sasa kama watu mnawakana watu potential na wako juu kama january,Shayo,Ridhiwani,john mashaka so nani do you think anafaa?...maana hawa watu wote vichwa ila kutwa watu kukosoa vitu ambavyo havipo.....tutafika kweli?...kazi kweli kweli...

then mnakazana wame plagiarize...si mtoe evidence basi kwa nini tuandikie wino wakati kalamu ipo?..its all about evidence..unless otherwise innocent until proven guilt
 
Dah dada wewe muweka threa unge tupa details zote tum jadili hapa hapa sasa inabidi tuka google tena? Since wewe unaona kijana anafaa unge google na hizo information ukaziweka kwenye thread. Sawa dada nikipata muda nitam google.

MwanaF!....Info zake zote zipo online na pia ana blog you can log in na kumpata huko...january makamba & Company
 
Kwikwikwiiiii...evidence zitolewe mara ngapi? You can't be serious
 
www.gmu.edu

sasa kama watu mnawakana watu potential na wako juu kama january,Shayo,Ridhiwani,john mashaka so nani do you think anafaa?...maana hawa watu wote vichwa ila kutwa watu kukosoa vitu ambavyo havipo.....tutafika kweli?...kazi kweli kweli...

then mnakazana wame plagiarize...si mtoe evidence basi kwa nini tuandikie wino wakati kalamu ipo?..its all about evidence..unless otherwise innocent until proven guilt
I think you mean kwa nini tuandikie mate wakati wino upo, au nime kosea?
 
January na Ridhwan ndio next generation leaders? Mweh!! bora niendelee kubaki ughaibuni tuu.
 
Heheheheheee....sometimes you make sense...and I give props where props are due.

Well thanks Nyani...and I don't think anybody makes sense all the time. Like when you flip out and start cursing out at people unbidden just 'cos you're on a forum of laid back culturally oriented Tanzanians who weren't raised to be badmouthed like two-bit ghetto fins and you think you're a keyboard thug. That's ain't tough man, tough ain't behind computer screens man, be cool bro get a grip. I give props and critic when either is due.
 
January na Ridhwan ndio next generation leaders? Mweh!! bora niendelee kubaki ughaibuni tuu.

Do yo have anybody in mind?..kulikuwa na wengi wengine wameshatutangulia kama Amina chifupa....
 
Jamaa ni mzembe fulani tu, kabebwa.
Ni kati ya watoto walioletwa mkanda nje hapa USA na kuishia kukusanya credit za kutosha kumpa cheti.
Kifupi anaweza shindana na mabwege wenzie watoto wa vingunge walio ipa shule makalio, baada ya baba zao kushindwa kuwapa maisha ya kifala kwa pesa za rushwa.
Ukimlinganisha na Kikwete kweli jamaa ni Kipanga.
Lakini nikimpambanisha na vichwa halisi; tuseme nikichukua watu 10 tu wa kwanza wakata data hapa JF, siyo Tanzania nzima, January atakosa hata December tu.Kifupi nikwamba wale 10 watamzidi kete na kuacha Gap ya watu wawili ndipo aje yeye.
Cha zaidi nikwamba Obama aliweza kumwelewa Makamba zaidi kuliko Kikwete kirafudhi, lakini wote wako kwenye kapu moja.
 
Ila dada Kelly skwa sababu umemuona huyu jamaa anafaa taja basi wadhifa alionao na vigezo vyake. Kwenye blog yake sija pata chochote chha kuonyesha anafaa wala nilivyoo mgoogle. Huwezi kusema mtu anafaa ukaulizwa juu yake ukasema kamresearch mtajua. Since wewe umeona anafaa mpaka kuanzisha hii thread tuambie ni kwa nini unaona anafaa?
 
Well thanks Nyani...and I don't think anybody makes sense all the time. Like when you flip out and start cursing out at people unbidden just 'cos you're on a forum of laid back culturally oriented Tanzanians who weren't raised to be badmouthed like two-bit ghetto fins and you thing you're a keyboard thug. That's ain't tough man, tough ain't behind computer screens man, be cool bro, get a grip. I give props and critic when either is due.

Gotcha!
 
Jamaa ni mzembe fulani tu, kabebwa.
Ni kati ya watoto walioletwa mkanda nje hapa USA na kuishia kukusanya credit za kutosha kumpa cheti.
Kifupi anaweza shindana na mabwege wenzie watoto wa vingunge walio ipa shule makalio, baada ya baba zao kushindwa kuwapa maisha ya kifala kwa pesa za rushwa.
Ukimlinganisha na Kikwete kweli jamaa ni Kipanga.
Lakini nikimpambanisha na vichwa halisi; tuseme nikichukua watu 10 tu wa kwanza wakata data hapa JF, siyo Tanzania nzima, January atakosa hata December tu.Kifupi nikwamba wale 10 watamzidi kete na kuacha Gap ya watu wawili ndipo aje yeye.
Cha zaidi nikwamba Obama aliweza kumwelewa Makamba zaidi kuliko Kikwete kirafudhi, lakini wote wako kwenye kapu moja.

Hehehehehe Madela bana unachekesha sana. Lakini umesema kweli. Huyo jamaa kweli ulimlinganisha na Kikwete anaonekana kichwa. Any average person for that matter, ukimlinganisha na Kikwete ataonekana kichwa.

Hivi kwa mfano Kikwete anaweza kwenda toe to toe na Mama Clinton kwenye debate? Au Mama atakuwa too much na mismatch?

Maybe Kikwete na Sarah Palin...Lol
 
Ila dada Kelly skwa sababu umemuona huyu jamaa anafaa taja basi wadhifa alionao na vigezo vyake. Kwenye blog yake sija pata chochote chha kuonyesha anafaa wala nilivyoo mgoogle. Huwezi kusema mtu anafaa ukaulizwa juu yake ukasema kamresearch mtajua. Since wewe umeona anafaa mpaka kuanzisha hii thread tuambie ni kwa nini unaona anafaa?

Jamaa ni mwandishi wa hotuba/mshauri wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aka Jon Favreu wa Tanzania.
 
Jamaa ni mzembe fulani tu, kabebwa.
Ni kati ya watoto walioletwa mkanda nje hapa USA na kuishia kukusanya credit za kutosha kumpa cheti.
Kifupi anaweza shindana na mabwege wenzie watoto wa vingunge walio ipa shule makalio, baada ya baba zao kushindwa kuwapa maisha ya kifala kwa pesa za rushwa.
Ukimlinganisha na Kikwete kweli jamaa ni Kipanga.
Lakini nikimpambanisha na vichwa halisi; tuseme nikichukua watu 10 tu wa kwanza wakata data hapa JF, siyo Tanzania nzima, January atakosa hata December tu.Kifupi nikwamba wale 10 watamzidi kete na kuacha Gap ya watu wawili ndipo aje yeye.
Cha zaidi nikwamba Obama aliweza kumwelewa Makamba zaidi kuliko Kikwete kirafudhi, lakini wote wako kwenye kapu moja.

Madilu...with due respect man toa hiyo list ya hao 10 unaodhani wewe can go head to head na JM!.....Trust me kama unataka pambanisha hao watu 10 wa jf kwa kuwafikiria jinsi wanavyoandika hapa then umecheza foul....wasikuzengue na jinsi walivyo so serious na hapa JF unadhanini vichwa hata wao hao ulionafikira i doubt kama watamfikia JM!....

Miye naomba hiyo list tuu na if and only if you know them in person na siyo annoymous.....Miye kwa hapa JF nitakayemdhania can go head to head and beat JM ni mwanakijiji tuu maan ai do know him personally and i knwo he is a smart dude.....
 
Hahahahahaaa....Njabu Ngabu atamsambaratisha kabisa huyo Makamba wako. Note I said Njabu
 
Jamaa ni mwandishi wa hotuba/mshauri wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aka Jon Favreu wa Tanzania.

Asante mkuu kwa hizi details. Ila dada yetu kasema anafaa uongozi na ni future leader kama akiandaliwa ila haja taja hivyo vigezo vinavyo pelekea yeye kuamini hivyo. Kuwa mwandishi wa hotuba/mshauri wa raisi is a start but it doesn't yet justify why he can be a future leader of Tanzania.
 
Back
Top Bottom