January Makamba: A New Generation Leader!

January Makamba: A New Generation Leader!

Asante mkuu kwa hizi details. Ila dada yetu kasema anafaa uongozi na ni future leader kama akiandaliwa ila haja taja hivyo vigezo vinavyo pelekea yeye kuamini hivyo. Kuwa mwandishi wa hotuba/mshauri wa raisi is a start but it doesn't yet justify why he can be a future leader of Tanzania.

Kuandaliwa siyo lazima uwe kwanza ww mbunge or so ila kwanza unaanzia chini then unapanda juu so as yeye JM kwanza anaanza kuangalia mazingira ya Ikulu yakoje kwa kuwa mwandishi na mushauri wa raisi.....then we carry on from there...wewe sana sana kaka yangu mwanF unataka kujua nini na kuamini kuwa jamaa ni kichwa?....
 
Hahahahahaaa....Njabu Ngabu atamsambaratisha kabisa huyo Makamba wako. Note I said Njabu

hahahahah!...siyo debate mradi debate i mean serious tal debate about kujenga nchi!......siyo kama debate za kwa michuzi na akina dr shayo.
 
..wewe sana sana kaka yangu mwanF unataka kujua nini na kuamini kuwa jamaa ni kichwa?....

Ili niamini kuwa yeye ni kichwa, nataka nijue ni nini alichokifanya ambacho kimeboresha maisha ya Mtanzania au binadamu kwa ujumla kama vile ambavyo Einstein alivyo balance E, M, na C.
 
Kuandaliwa siyo lazima uwe kwanza ww mbunge or so ila kwanza unaanzia chini then unapanda juu so as yeye JM kwanza anaanza kuangalia mazingira ya Ikulu yakoje kwa kuwa mwandishi na mushauri wa raisi.....then we carry on from there...wewe sana sana kaka yangu mwanF unataka kujua nini na kuamini kuwa jamaa ni kichwa?....
Dada angu sikusema kuandaliwa lazima uwe mbunge. Kuandaliwa kama ulivyo sema you can start from anywhere. Ninacho taka kujua ni what is it about huyu JM that makes you say ni future leader of Tanzania?Sijaona sehemu yoyote umeandika vigezo vyake. Unataka kusema kuwa kwake mwandishi/mshauri ndiyo imeku fanya uone anafaa? Just give the qualities of this guy ulizo ona zina mfanya future leader. Ni lazima tujue vigezo vyake ila wananchi tumpime. Just toa vigezo kuwa jamaa is this this & that & so far he has done this this & thats thats why I think so & so about him.
 
Kuandaliwa siyo lazima uwe kwanza ww mbunge or so ila kwanza unaanzia chini then unapanda juu so as yeye JM kwanza anaanza kuangalia mazingira ya Ikulu yakoje kwa kuwa mwandishi na mushauri wa raisi.....then we carry on from there...wewe sana sana kaka yangu mwanF unataka kujua nini na kuamini kuwa jamaa ni kichwa?....

Umesoma hotuba anazomuandikia Kikwete, au tangu aanze kumshauri Rais mangapi yametekelezwa? Kujua mazingira ya Ikulu hakukufanyi ukawa great leader, kama hiki ni kimojawapo ya vigezo basi Tanzania kuna tatizo la viongozi.

Humu JF kuna watu kama akina Kitila Mkumbo wakisimama na huyo January lazima wamuangushe...Kwanza huyo JM yuko humu?
 
Nyie wote najua mna hate on JM!...mfano mzuri ni obama kaona raisi wenu kaenda pale kashindwa kuji represent kijana akachukua usukani akaendeleza maongezi...so lazima obama hapo akaona duh watanzania how come tumemchagua raisi hata anashindwa kupresent hoja yake kama ifuatavyo then huyu mwandishi/mshauri wake did done it reall well...na i doubt kama none of you can do that like present yourself really well and sell it...maana najua customer service tuu wengi wenu inawashinda...ila JM kaenda shule na kichwani zimo amegraduate na cumlade....

brb
 
January na Ridhwan ndio next generation leaders? Mweh!! bora niendelee kubaki ughaibuni tuu.

Mtoto wa nyoka ni nyoka. Usanii wa baba zao haututiii moyo kuwaamini hawa vijana hata kidogo. Kwanza tayari wamo kwenye system ya kifisadi kwahiyo watakuja kuendeleza system hiyo hiyo, so we need change. Hatuwahitaji kwa kweli.
 
Humu JF kuna watu kama akina Kitila Mkumbo wakisimama na huyo January lazima wamuangushe...Kwanza huyo JM yuko humu?

Kitila will be too much for him...

Yo Yo Tell 'em atakuwa size yake...kama akiteleza basi back up atakuwa Yournameismine
 
Umesoma hotuba anazomuandikia Kikwete, au tangu aanze kumshauri Rais mangapi yametekelezwa? Kujua mazingira ya Ikulu hakukufanyi ukawa great leader, kama hiki ni kimojawapo ya vigezo basi Tanzania kuna tatizo la viongozi.

Humu JF kuna watu kama akina Kitila Mkumbo wakisimama na huyo January lazima wamuangushe...Kwanza huyo JM yuko humu?

Mkuu Icadon,
Nakuunga mkono kabisa. Kitila Mkumbo ni kichwa kizuri sana. Nafikiri sasa atakuwa amemaliza PhD yake kama hayuko kwenye hatua za mwisho huko UK. Huyu jamaa nakumbuka akiwa rais wa DARUSO miaka ya 90 uongozi wake ulikuwa ni wa mfano. Ana misimamo katika mambo ya msingi na hayumbishwi na mtu. Naomba asijekuwa kama mzee wa Dowans (Zitto). Aendelee na huo msimamo hope oneday anatakuwa rais wa hii yetu iliyobarikiwa sana na MUNGU.
 
Nyie wote najua mna hate on JM!...mfano mzuri ni obama kaona raisi wenu kaenda pale kashindwa kuji represent kijana akachukua usukani akaendeleza maongezi...so lazima obama hapo akaona duh watanzania how come tumemchagua raisi hata anashindwa kupresent hoja yake kama ifuatavyo then huyu mwandishi/mshauri wake did done it reall well...na i doubt kama none of you can do that like present yourself really well and sell it...maana najua customer service tuu wengi wenu inawashinda...ila JM kaenda shule na kichwani zimo amegraduate na cumlade....

brb

Tuna hate kwa kumhoji mtu uliye pendekeza anaweza kuwa leader wetu baadae? Sasa akiwa kiongozi ata waongoza wakina nani kama siyo sisi? Hauwezi kusema watu wanamhate mtu fulani kwa kuhoji vigezo vyake vya kuwa kiongozi.

Sawa JM ni graduate, wangapi wamegraduate dada wewe? Huyo JK mwenyewe si graduate? Mkapa si graduate? Museveni nae si graduate? Sasa kama uwezo wake pekee unao fanya utulazimishe kumkubali ni kuwa he is a graduate basi hapo sielewe.

Na sawa most of us we can't be leaders ndiyo maana sisi wengine hatu ng'nag'anii kuingia kwenye uongozi halafu tubolonge kama wengine. ndiyo maana wengine tuna baki kuchagua viongozi wanaofaa sasa wewe umempendekeza mmoja kuulizwa maswali juu yake we are hating. Au ul tegemea ukimtaja tumkubali tu moja kwa moja? Na hiyo ya yeye kuake over kwenye mkutano might be a part of his job discription, kwani lazima raisi ndiyo awe muongeaji kila saa?

Na hiyo kauli ya Obama haisaidii chochote kama hauta back up your claims na qualifications za maana because Obama siyo mtanzania & he has nothing to do with Tanzanian politics. Lazima niulize uwezo wa jamaa & I can't be called a hater kwa kuhoji uwezo wa mtu na huo uwezo wenyewe hauja taja zaidi ya kusema he is a graduate na sijui he can & we can't, umesikia tuna taka kuwa viongozi dada?

If you can't sell him to the public then basi huo ufuture leader itaishia kuwa tu maneno hewa unless kama mtamforce him upon us kama wanavyo tu tupia watu wasio faa kila leo kwenye uongozi.
 
Kitila will be too much for him...

Yo Yo Tell 'em atakuwa size yake...kama akiteleza basi back up atakuwa Yournameismine
kunilinganisha na JM ni kunitusi.....naomba uniombe radhi......huwezi kunilinganisha na kituko kama kile.....niombe radhi
 
Madilu...with due respect man toa hiyo list ya hao 10 unaodhani wewe can go head to head na JM!.....Trust me kama unataka pambanisha hao watu 10 wa jf kwa kuwafikiria jinsi wanavyoandika hapa then umecheza foul....wasikuzengue na jinsi walivyo so serious na hapa JF unadhanini vichwa hata wao hao ulionafikira i doubt kama watamfikia JM!....

Miye naomba hiyo list tuu na if and only if you know them in person na siyo annoymous.....Miye kwa hapa JF nitakayemdhania can go head to head and beat JM ni mwanakijiji tuu maan ai do know him personally and i knwo he is a smart dude.....

Wa kwanza ni Mwanakijiji wa wa kumi ni mimi Madela Wa- Madilu.

Pamoja na ukweli kwamba muda wangu wote nimetumia kukokotoa namba ili kupata kacheti ka Engineering na siyo shahada nzito ya Uchumi Siasa Biashara au Sheria bwana mdogo January atanifuatia kwa mbali huku ulimi ukiwa nje.
mambo mengi niandikayo hapa naandika kwa hobby zaidi na kutumia less than 10% ya muda wangu wa kula mawe, kama yanaliwa.
Lakini nikiamua kuzama ili kutoa article au comments katia nyanja kibao ikiwa ni pamoja na Uhandisi na maendeleo ya viwanda, huyu dogo ataingilia wapi.
Kweli Kuna mambo kibao atanishinda, kwa mfano yeye atakuwa more informed na pengine kuwa na latest data na hata mvuto wa jina and no more.
 
Watu wanampinga sana ndugu Januay Makamba (majority vijana wale wenye roho za kwa nini)...juzi hapa ndani ya white house January kapiga story na Barack Obama kuliko hata Obama alivyoongea na JK....hadi Obama mwenyewe kamkubali kuwa kIJANA January Makamba ni kichwa/Smart na ndiyo new generation leader of Tanzania au kwa maana nyingine Future leader wa Tanzania...kama akipikwa vizuri basi....olooo "Change is coming to Tanzania"
nipe link wapi habari hizi zipo please....usiniambie ni google......
 
kunilinganisha na JM ni kunitusi.....naomba uniombe radhi......huwezi kunilinganisha na kituko kama kile.....niombe radhi

Ooops...najua wewe ni mtu makini sana. Niwie radhi faza...

Sasa kule chemba video vipi, mbona hujaweka toka wiki ilopita?
 
Au ww Kelly01 ndiye Januari Makamba halafu unatumia JF kujifanyia self-promotion ya kisiasa?

Advice: Acha hizo cheap politics mazee.

Just an advice. Not worth further discussion.
 
MwanaF!....Google him utapata his biography Mwanawane!....

YE!...Hahahaha nimezipata hizi jikoni you know.....you knw me i have inside friends/intelejensia.
aisee wewe kelly01 unasikitisha nahisi hata kujibu hii thread najidhalilisha......mbona unaandika vitu ambavyo mtoto wa STD 4 wa jirani yangu Mama Taimuri haandiki......ni aibu kwa JF...

niambie kilichokushtua kwenye bio yake?
 
Wa kwanza ni Mwanakijiji wa wa kumi ni mimi Madela Wa- Madilu.

Pamoja na ukweli kwamba muda wangu wote nimetumia kukokotoa namba ili kupata kacheti ka Engineering na siyo shahada nzito ya Uchumi Siasa Biashara au Sheria bwana mdogo January atanifuatia kwa mbali huku ulimi ukiwa nje.
mambo mengi niandikayo hapa naandika kwa hobby zaidi na kutumia less than 10% ya muda wangu wa kula mawe, kama yanaliwa.
Lakini nikiamua kuzama ili kutoa article au comments katia nyanja kibao ikiwa ni pamoja na Uhandisi na maendeleo ya viwanda, huyu dogo ataingilia wapi.
Kweli Kuna mambo kibao atanishinda, kwa mfano yeye atakuwa more informed na pengine kuwa na latest data na hata mvuto wa jina and no more.

True Madela.
Anybody with half a brain can cut the kid.
 
hii ndio intelejesia yako kuwa JM kichwa? dada kelly01 unahitaji maombi.....
sasa kama watu mnawakana watu potential na wako juu kama january,Shayo,Ridhiwani,john mashaka so nani do you think anafaa?...maana hawa watu wote vichwa ila kutwa watu kukosoa vitu ambavyo havipo.....tutafika kweli?...kazi kweli kweli...

then mnakazana wame plagiarize...si mtoe evidence basi kwa nini tuandikie wino wakati kalamu ipo?..its all about evidence..unless otherwise innocent until proven guilt
maama yangu weeeee.....ridhiwani?? shayo?? mashaka? JM? yaani hao watu unaona makini sana eeeh? huyo shayo muongo mkubwa mwanamazingira anadanganya watu kwa michuzi kuwa mchumi...sh*&&^ type
...
na huyo kinda wa muungwana kichwa kwa vipi? lol kelly01 mchungaji mwanakasege anakuja Minnessota kama sikosei jongea upate maombi....

.......jamani huyu bibie kelly01 tumsaidieje?
 
www.gmu.edu

sasa kama watu mnawakana watu potential na wako juu kama january,Shayo,Ridhiwani,john mashaka so nani do you think anafaa?...maana hawa watu wote vichwa ila kutwa watu kukosoa vitu ambavyo havipo.....tutafika kweli?...kazi kweli kweli...

then mnakazana wame plagiarize...si mtoe evidence basi kwa nini tuandikie wino wakati kalamu ipo?..its all about evidence..unless otherwise innocent until proven guilt

Ninaamini kuna vijana wengi very patriot na Makamba akiwa mmoja wao, Watu wengi wanakuwa na negativity because they hate dynasty na hii mentality ya mambo ya Ufisadi ndio imeua kabisa upendo wa watanzania kwa watoto wengi dynasty but I know what you mean.

Cha muhimu mpaka makamba aje kugombea we will see his platfom and what he stand for it is too early to judge is more than english, and academic credentials it is the vision of the country. If you near to him just advice him to come down and he need to understand Tanzania of 5 yeras to come which is going to be tough, and more resorning and he need to prepare himself.
 
Back
Top Bottom