Mh..hebu nikumbushe hoja ni ipi hapa kwenye hii thread? Maana naona maluweluwe tu..watu wameanza kuuliza kitambo tu merits na credits ambazo Makamba anazo ili awe Magogoni..badala ya majibu mujarabu tunaona vituko tu na maoni..au hizi ndo hoja ...lol
What we need is facts & figures mazee..
Unaweza kutafuniwa lakini si lazima umezewe..
Where are facts and figures mazee, thats is all matters mazee..hizi sarakasi za kuruka na kutua na kuruka tena hazibadilishi chochote..
Basi tutakupa uji...tujue moja!
Ladies and Gentlemen, we know Yussufu, the sacked hakimu Makamba,the Voda Makamba, who the hell is this calender Makamba?
January is my friend, however, I will provide a neutral testimony on whether he is the man for 2015.
11. I will transform a culture of patronage into a culture of merit. All appointments to cabinet and government posts will be based on merit, drawing not just from my party's members but also from non-politicized Tanzanians.
mnaboa sasa
Ukisema hivi bila kuonyesha wanaboa vipi wewe ndiye unayeboa zaidi.
Mchungaji naomba umuulize swahiba wako (January) mbona hajamshauri(tunasikia ni mshauri wake) JK kwenye hili..!
Wana mitandao na yeye mwenyewe sio product ya hiyo culture..?
www.gmu.edu
sasa kama watu mnawakana watu potential na wako juu kama january,Shayo,Ridhiwani,john mashaka so nani do you think anafaa?...maana hawa watu wote vichwa ila kutwa watu kukosoa vitu ambavyo havipo.....tutafika kweli?...kazi kweli kweli...
then mnakazana wame plagiarize...si mtoe evidence basi kwa nini tuandikie wino wakati kalamu ipo?..its all about evidence..unless otherwise innocent until proven guilt
Mawazo Matatu,
Hata mimi nimejiuliza sana kuhusu hilo na hivi karibuni kama miezi miwili iliyopita, nilimtumia January hiyo email aliyoniandikia 2003, lakini yaelekea kuwa mtu ukishaingia kwenye system, basi mambo hubadilika na unaweza kubadilishwa msimamo.
Ndiyo maana nasema, inabidi JYM awe na track record ya kufanya kazi na ufanisi kabla ya Shangwe na vifijo kupigwa.
He was an Idealist, just like many in here, lakini now he is in true world and what I come to realize, even Kiwete himself have no muscle or nerves to change the status quo of Tanzania political system, which has people like Kingunge, Lowassa, Rostam and Chenge running it!
Vipi hili nalo amemshauri JK au? Tuanzie na uko Ikulu anakofanyia kazi report zao za matumizi zinapatikana kwa wananchi?2. All Ministries and government parastatals will produce quarterly reports of all resources allocated to it and how it was spent. These will be public documents accessible to all Tanzanians.
Jamani msije m-kani quote miye Kelly01 wrong wala sijasema JM for 2010...nimetoa hoja tuu ya kunako majaliwa...........anaweza kuwa our new generation leader......Maana i see watu wamesheaanz put words into people's mouth ................right after kishoka alivyochanganua mambo.............i guess nao makelele yataisha............Bravo kaka kishoka.....
Mambo shosti...nimekumiss!
Rev. Kishoka and Selemani, have nailed it!
I am good shosti!......what's the deal!....
No much ndugu yangu, just chillin'...
Yaani you are so luck upo una chillaxing.....mwenzio i am so tired i am about to pass out....hapa nilipo god!.....imagine its only wednesday!....