January Makamba: A New Generation Leader!

January Makamba: A New Generation Leader!

Oh kumbe bado ni spring chicken.....mi nilidhani ana push 40...

Basi kumbe we mtu mzima mkuu. Kama uli tegemea kusoma sawa na mtu anaye push 40 basi na wewe utakua ume kula chumvi kidogo. If I'm wrong coreect me.
 
Basi kumbe we mtu mzima mkuu. Kama uli tegemea kusoma sawa na mtu anaye push 40 basi na wewe utakua ume kula chumvi kidogo. If I'm wrong coreect me.

Naaaah....mimi si dogo kihivyo na sio kibabu kihivyo....40 bado kabisa....niko kwenye prime sasa hivi
 
Watu wanampinga sana ndugu Januay Makamba (majority vijana wale wenye roho za kwa nini)...juzi hapa ndani ya white house January kapiga story na Barack Obama kuliko hata Obama alivyoongea na JK....hadi Obama mwenyewe kamkubali kuwa kIJANA January Makamba ni kichwa/Smart na ndiyo new generation leader of Tanzania au kwa maana nyingine Future leader wa Tanzania...kama akipikwa vizuri basi....olooo "Change is coming to Tanzania"
nimetafuta hata picha ambayo Jm kasimama na Barack Obama nimekosa......walipigia story wapi? ...kwenye picha JK anaongea an obama yupo membe na yule mama mwenye kitenge....JM aliongea na Obama wapi?
 
january Makamba is a good example, especially to young people. Hana makuu na mtu. Focused only on his job and doing what's right. Down to earth, respectfull, visionary, savvy, sophisticated, cool, nice, and many more.
 
Je kuna mtu mwingine ana professional criticism zozote juu ya JM ?

kama anazo tafadhali zileteni ili tujadiliane hapa na khasa OP
 
Niliwahi kufanya project moja na JM, ilihusu mambo ya utalii alikuwa akiwakilisha wakubwa wakati huo, kwa kweli it was a great team na akiwa kama team leader tulifanya naye kazi kwa maelewano, from my percpective he is capable...
 
MwanaF!....Google him utapata his biography Mwanawane!....

kha...this is what i hate. Sijui ni education ya bongo ni inawafanya watu wawe namna hii! Wewe umekuja na hoja hapa, badala ya kutueleza unatuambia tufanye research tena! Tupo darasani hapa? If u want us to discuss the issue, provide us with the data to do so, especially when such an issue is not common knowledge.
Otherwise ur topic is limited to members who know January Makamba!!
 
Halafu google can spit all types of garbage, google is your friend alright, but that is not an excuse to be intellectually lazy. Google is neither the Oracle of Siwa nor some all knowing crystal ball.
 
I come here not to research but exchange ideas. I do enough research in my everyday work, which makes it annoying when someone tells me to research for a stupid forum discussion! Do you expect me to go and research plus come to inform u of my viewpoint on it? U gotta be kidding me!...hahahaha

I agree with u on the google point...but hey, its good for simple research.
 
No research no right to speak.
 
kha...this is what i hate. Sijui ni education ya bongo ni inawafanya watu wawe namna hii! Wewe umekuja na hoja hapa, badala ya kutueleza unatuambia tufanye research tena! Tupo darasani hapa? If u want us to discuss the issue, provide us with the data to do so, especially when such an issue is not common knowledge.

Otherwise ur topic is limited to members who know January Makamba!!

Mkuu, we mgeni kwa huyo mtu? Alipoanzisha topiki hakuwa na nia ya kujadili undani wa uwezo wa January kuwa ofisa Ikulu.

Muanzisha mada nia yake ni kujadili personality, huwa anatafuta ka hook fulani, ka angle ka kuvutia majamaa kwenye mada lakini in the end mada hubadilika kuwa dating, size za matiti, mipango ya pati zake za Ohio, na vi publicized private messages vyao wanavyotumiana for everybody to see. Udaku tu. Ni kama malkia wa nyuki anavyojua kutafuta hook kuvutia vinyuki lakini kinyuki kikitoka tu kwenye mzinga kinakufa.
 
mkuu, we mgeni kwa huyo mtu? Alipoanzisha topiki hakuwa na nia ya kujadili undani wa uwezo wa january kuwa ofisa ikulu.

muanzisha mada nia yake ni kujadili personality, huwa anatafuta ka hook fulani, ka angle ka kuvutia majamaa kwenye mada lakini in the end mada hubadilika kuwa dating, size za matiti, mipango ya pati zake za ohio, na vi publicized private messages vyao wanavyotumiana for everybody to see. Udaku tu. Ni kama malkia wa nyuki anavyojua kutafuta hook kuvutia vinyuki lakini kinyuki kikitoka tu kwenye mzinga kinakufa.

you nailed it!!!
 
Semilong said:
kufanya kazi ikulu hakumfanyi mtu awe kiongozi mzuri baadae hata siku moja
TZ inahitaji rais ambaye yuko creative na anaweza kutatua matatizo ya wananchi na nchi kwa ujumla. Na watu wanamna hii wanapatikana kutoka kwenye private sector na sio kwenye chama.

JM hapo ikulu anajifunza kufata protocol na sio kutatua matatizo ya watanzania. Anatakiwa akafanye kazi kwenye private sector na aonyeshe creativity yake, ashindane na watu wengine ndio tuone uwezo wake.

lakini kama anataka kuwa party activist hapo ikulu ndio maali pake

young managers ambao wanafanya kazi kwenye private industry are more capable of doing a better job than him(JM)

mfano wanasiasa walioko madarakani sasa hivi wengi wana kila aina za mbinu za kushinda uchaguzi lakini hawana mbinu za kuleta mabadiliko, wengi wanasiasa za ukombozi na sio siasa za maendeleo

mtoaji wa mada rais aandaliwi, rais anatakiwa aangaike akumbane na matatizo mbalimbali na kuyatatua, na sio kuandaliwa kama unavyofikiria wewe, rais wa sasa hivi ameandaliwa matoke yako watu wengine wana run the country for him

binafsi naamini dada yake pale vodacom anapata skills nzuri, anakumbana na matatizo mbalimbali kulikoni yeye pale ikulu ambapo hana uzoefu wa kuchangia sera yeyote ya maana ie uchumi, utawala na kadhalika

mtoaji mada niaamini uko USA na ukiangalia hiyo cabinet utaona watu wengi ni watu ambao wamefanya kazi sehemu mbalimbali na sio party activist

ndio maana ukiangalia hata cabinet ya sasa hivi utaona labda ni magufuli ndio anaweza kutoka wizara moja kwenda nyingine kuweza kutatua matatizo yaliyoko kwenye hiyo wizara lakini wengine ni wafata protocol tu hawako creative na hawaji na kitu chochote kipya zaidi ya mbinu za kuiba

kuhusu kuteuliwa kwake nafasi aliyekuwepo, nianaamini rais anaweza kumteua mtu yeyote anayemwamini na kumtaka awe mshauri wake katika mambo mbalimbali ie vijana, new media na kadhalika. Mshauri wake anaweza akawa mtu yeyote yule hata kama ni mtoto wa makamba haijalishi ni uamuzi wake.

baba yake hata angempa mtaji wa biashara ingekuwa ni kitu kizuri zaidi na tungeona perfomance yake, pia angeweza kujifunza mambo mengi zaidi kulikoni hapo ikulu

baba yake angemtafutia hata cheo kwenye makampuni ya maswaiba wake alafu kama ange turn around hayo makampuni tungemmwagia masifa kwa ajili atakuwa ana staili

lakini sio kupokea wageni au kuongea na obama kwa lafidhi ya kimarekani

JM ondoka white house wacha kuwa mesenja, go and find a proper job

Semilong,

..posting hii ilipoanzishwa ilibidi niingie mtaani kujaribu kupata data mbili-tatu kuhusu January Makamba.

..habari za mtaani zinasema kwamba kijana amesoma Tanzania sekondari, na pia ana shahada mbili kutoka vyuo vya Marekani.

..pia kijana ana uzoefu wa kazi alioupata UNHCR na Taasisi ya Raisi Mstaafu wa Marekani Mzee Jimmy Carter.

..nadhani huyu dogo ana sifa za elimu na kiuzoefu kuwa mshauri wa Raisi. naamini anaweza kuwa na mawazo mapya kuliko wengi walioko serikalini sasa hivi.

NB:

..siamini kama huyu dogo alizungumza na Obama huko White House.

..michuzi ametoa picha nyingi tu, pamoja na video clips, za ujumbe wa Kikwete uliokwenda White House, na Makamba haonekani popote.
 
Hata kama aliongea na Obama, so what? Is that a qualification? Not to me. Only to the simple minds.
 
Back
Top Bottom