January Makamba aliwahi kushauri wote waliozaliwa kabla ya 1961 wasigombee Urais

January Makamba aliwahi kushauri wote waliozaliwa kabla ya 1961 wasigombee Urais

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Ujana una mambo yake mengi sana tena Sana tu.

Mheshimiwa January Makamba Enzi hizo akiwa ni mmoja wa watarajiwa wa kuchukua fomu za Ugombea Urais CCM 2015, alitoa maoni kuwa siasa na uongozi wa nchi ni sharti uende kwa vijana.

Alienda mbali kwa kusema wote waliozaliwa mwaka 1961 kurudi nyuma ni bora wasingegombea Urais. Sasa miaka haigandi naye huyoooo uzee unabisha hodi.

Je, akiimbuka kauli na maoni yake hayo anajisikiaje?
 
Alitumwa na wakubwa,maana yule mzee wa iringa mwenye roho ngumu asiyeangalia mtu usoni ndiye aliyepewa wembe wa kukata watu wenye umri sawa na jakaya kwamba ' hawa wastaafu na jakaya'...wakanuna,wengine wakaenda mbeya wengine wanafuga nyuki na kulima zabibu
 
Mara Mavunde na Ndejnembi nao wanaibuka na kumwambia January wote waliozaliwa mwaka 1975 kurudi nyuma wasigombee Urais.
Hivi Mavunde na Makamba wanatofauti kiumri? Mbona Anthony Mavunde anaonekana mzee?
 
Back
Top Bottom