Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Kumbuka ni mwanasiasa huyo, kuzikataq kauli zao ni kawaidaSasa akizeeka yeye na bado anautaka Urais, ataikana kauli hii?
Mara Mavunde na Ndejnembi nao wanaibuka na kumwambia January wote waliozaliwa mwaka 1975 kurudi nyuma wasigombee Urais.Kumbuka ni mwanasiasa huyo, kuzikataq kauli zao ni kawaida
Hivi Mavunde na Makamba wanatofauti kiumri? Mbona Anthony Mavunde anaonekana mzee?Mara Mavunde na Ndejnembi nao wanaibuka na kumwambia January wote waliozaliwa mwaka 1975 kurudi nyuma wasigombee Urais.
Wametafautiana zaidi ya miaka 10Hivi Mavunde na Makamba wanatofauti kiumri? Mbona Anthony Mavunde anaonekana mzee?