January Makamba amefuta mradi wa kujenga Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa KICC na kuja na miradi ya upigaji ya kujenga magorofa nchi za nje

Lakini mheshimiwa waziri amekuja na faida ya hizo miradi sh billion 692 kwa mwaka
Hizo zinatosha kujenga km 692 za Barabara Kila mwaka

Ni vizuri na wewe ukaja na plan yako na faida zake kwa nchi
Sio kukosoa tu kipumbavu hapa
Au utuambie huu mradi wa KICC utaingiza sh ngapi kwa mwaka
Watalii wengi Arusha wanafuata vivutio vya asili Kama mbuga nk
Sio kumbi na majengo
Kuna Nchi za wenzetu Wana majengo makubwa na makumbi Sana so wanapenda nature zaidi
 
Watumie modality nyingine ya kujenga Nchi za watu sio kutumia Kodi zetu.

Pili hayo aliyosema ni matarajio sio assurance ni matarajio.

Watumie private investor kufanya huo uwekezaji kwenye Nchi ya kigeni sio Kodi zetu.

Mwisho mradi Wetu wa Arusha KICC ungeleta faida kubwa tuu na ungekuwa inajenga nyumbani sio tuu Kituo Cha mikutano Bali na Mahoteli.
 
Tupe plan yako na faida yake sio unakosoa tu miradi ya waziri Kama uko kwenye baikoko
Soma mada nimeshaeleza sana humu ndani.Kushadidia jambo Hilo ni ujinga.

Yaani ujenge Nchi ya watu at the expense ya mradi wa nyumbani ambao nao ungeleta faida nzuri why?
 
Swali, ni katika huo ujenzi zitatumika fedha za kigeni kiasi gani na baada ya muda gani zitakuwa zimerudi?
 
Daaaah
 
Very sad yaani hapa bwana February anajivunia kabisa na kuonesha majengo ambayo Kodi zetu Zinaenda kutumika kujenga Miji ya watu?πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/JMakamba/status/1802981940594655583?t=SF0hM-AfDXzrGkxtm2rtUA&s=19
Imeniuma sana
 
Ulitaka waandika nini mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…