January Makamba ampongeza Rais Samia Kwa kuchaguliwa kupeperusha bendera ya CCM Kwenye uchaguzi wa Rais, asema hii itasaidia kampeni mapema!

January Makamba ampongeza Rais Samia Kwa kuchaguliwa kupeperusha bendera ya CCM Kwenye uchaguzi wa Rais, asema hii itasaidia kampeni mapema!

Mbunge wa Bumbuli Mh January Makamba ampongeza Rais Samia Kwa kuchaguliwa na Mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea uRais

Makamba amesema uteuzi huu utasaidia kuanza mipango ya Kampeni mapema

Soma Pia: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

Pongezi amezitoa Ukurasani kwake X

Mlale unono 😀
Huyo mhuni atulie. Ratiba ya kampeni inatolewa na tume ya uchaguzi. Mikakati ya wizi wa kura hata wskianza mapema ni kazi bure maana wazalendo ccm wanaenda mahakamani kupinga wizi wa uteuzi wa mgombea urais. Katiba ya ccm haikufuatwa.
 
Mbunge wa Bumbuli Mh January Makamba ampongeza Rais Samia Kwa kuchaguliwa na Mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea uRais

Makamba amesema uteuzi huu utasaidia kuanza mipango ya Kampeni mapema

Soma Pia: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

Pongezi amezitoa Ukurasani kwake X

Mlale unono 😀
IMG-20250121-WA0072.jpg
 
Pongezi zitoke kwa Januari? Usimwamini huyo kiumbe hata siku moja, CCM huenda ikamkata kabisa hata ubunge
 
Wengi wanafurahi pia.sababu ni kipindi cha.kwenda all the bank na kucheki vibunda vya.ccm.

Nyakati hizi za kampeni akina.steve nyerere ndio.wananunuaga ma rangerover maana wanapewa vibunda na chama.
 
Back
Top Bottom