Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaTAL ashinde au tugawane mbao
Tumeshinda sasa mbao zimeponaHahaha
HahahaMbunge wa Bumbuli Mh January Makamba ampongeza Rais Samia Kwa kuchaguliwa na Mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea uRais
Makamba amesema uteuzi huu utasaidia kuanza mipango ya Kampeni mapema
Soma Pia: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
Pongezi amezitoa Ukurasani kwake X
Mlale unono 😀
Kuna ambao wapo kwenye mkutano na ambao wapo kwenye tamasha! Na 😁😁