January Makamba ampongeza Rais Samia Kwa kuchaguliwa kupeperusha bendera ya CCM Kwenye uchaguzi wa Rais, asema hii itasaidia kampeni mapema!

Huyo mhuni atulie. Ratiba ya kampeni inatolewa na tume ya uchaguzi. Mikakati ya wizi wa kura hata wskianza mapema ni kazi bure maana wazalendo ccm wanaenda mahakamani kupinga wizi wa uteuzi wa mgombea urais. Katiba ya ccm haikufuatwa.
 
Pongezi zitoke kwa Januari? Usimwamini huyo kiumbe hata siku moja, CCM huenda ikamkata kabisa hata ubunge
 
Wengi wanafurahi pia.sababu ni kipindi cha.kwenda all the bank na kucheki vibunda vya.ccm.

Nyakati hizi za kampeni akina.steve nyerere ndio.wananunuaga ma rangerover maana wanapewa vibunda na chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…