CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Niko tabata chama hapa natoa loki kwa kupiga double kick mbili zenye thamani ya 4000 pembeni yamekaa majamaa mawili yenye sura na matumbo ya kifisadi yanakunywa wine na kitimoto
Ghafla umeme umekatika wakati tunalalamika majamaa yakaanza kutuambia tumpe muda mr kipara anatuletea umeme wa uhakika wa upepo tukabisha tukaambiwa tupende tusipende sisi ni viroboto tu na kipara ni next president
Ila kiukweli umeme ukikatika noise pollution ya maredio inapungua sanA
Big up j makamba kazi iendelee