Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
January is incapable kama Samia tu!Niko tabata chama hapa natoa loki kwa kupiga double kick mbili zenye thamani ya 4000 pembeni yamekaa majamaa mawili yenye sura na matumbo ya kifisadi yanakunywa wine na kitimoto
Ghafla umeme umekatika wakati tunalalamika majamaa yakaanza kutuambia tumpe muda mr kipara anatuletea umeme wa uhakika wa upepo tukabisha tukaambiwa tupende tusipende sisi ni viroboto tu na kipara ni next president
Ila kiukweli umeme ukikatika noise pollution ya maredio inapungua sanA
Big up j makamba kazi iendelee